Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Ndiyo mazuri hayo ukimbambia mtu unasikia joto lake vizuri.Alafu Kuna Manyunyu Ya Mvua
Ndiyo mazuri hayo ukimbambia mtu unasikia joto lake vizuri.Alafu Kuna Manyunyu Ya Mvua
Mpumbavu sanaHuyu jux anapoteza muda tu stejini na Vanessa! Vanessa! Sisi tunataka show sio kumsifia vanessa
Jux hata simuelewi na hiv watu wamesimama wanataman kumfukuza miwani kavaa ya jua itakuwa hata haoni watu wakiwa wamemchoka pooohAh ah ah ah ah ah ah ah Usiku Huu Bhana Kucheka Kwa Saut Sio Vzr Bhana
Jux kakubali yaishe BASI NENDAvanesa hajakubali tyu
Wanazenguaavanesa hajakubali tyu
Kwa hiyo inabid akaage kwao, ili nyota yake isafishikeChefuuu kabisa jux ndo maan nikasema wajanja wamechukua nyota yake pooh
Hana nyotaDemiss njoo umchukue jux wako anazingua
Jux mkali bila kuoga afiki popoteKwa hiyo inabid akaage kwako, ili nyota yake isafishike
Uwiiiiiii vanesaa kavaa mananasi ya Bukoba poooooh

hio pooh ndo unatema mate au?Duh! Mpaka Usiku Wa Manani Ndo Grace Mugabe Ataonekana Hatari SanaUtamuona saa tisa ikipita