Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,684
Jux madem wamempa shavu kidogo
Jux anajua kuimba na live lakin hana nyota ya kupendwa anajikaza ila watu na roho mbaya hawampendi Dodoma tulimfukuza jukwaani pole mwaya jux ila ndo maana vannesa kamkimbia poooh hana nyotaaa
Kweli nimemsahau mnyama ByserNa Blue
Mtamfanya aache mziki msimfanyie hivo tenaJux anajua kuimba na live lakin hana nyota ya kupendwa anajikaza ila watu na roho mbaya hawampendi Dodoma tulimfukuza jukwaani pole mwaya jux ila ndo maana vannesa kamkimbia poooh hana nyotaaa
Na Blue
Jux humuoniHadi sasa kwenye live Fid Q na Ben Pol wameua
Blue anakuwa kwenye list ya watu wa mwisho mwishoBlue yupo sijui anapanda saa ngapi
Ila nasubiria Weusi tuliamshe dude
Duuuuh ...Jux anajua kuimba na live lakin hana nyota ya kupendwa anajikaza ila watu na roho mbaya hawampendi Dodoma tulimfukuza jukwaani pole mwaya jux ila ndo maana vannesa kamkimbia poooh hana nyotaaa
Anatembea nyotaImemsaidia pia kumtaja Vanessa
Ila sauti ya live band bado
Jux humuoni
Mm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my juxMtamfanya aache mziki msimfanyie hivo tena
ahahahahahah ongeza mzee babaHadi sasa amenifurahisha ngoja nikaongeze kitwanga kwanza naona chupa ipo empty
Imemsaidia pia kumtaja Vanessa
Ila sauti ya live band bado
Kweli jamaa yuko poa ila tatizo nyota.Mm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my jux
Nay hapanaUmewasahau NAY WA MITEGO na CHRISTIAN BELLA ni wazuri jukwaani bila kuwasahau rostam
Uzungu mwingi kweli ila anafanya vitu jukwaani locallyMm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my jux