koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Jux na Vannesa hawakuachana wanatuchora tuMm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my jux
Jux na Vannesa hawakuachana wanatuchora tuMm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my jux
BomberdiaHadi sasa amenifurahisha ngoja nikaongeze kitwanga kwanza naona chupa ipo empty
Mmh mbona niliwahi hudhuria fiesta mwakajana mkoani alipata shangwe za kutosha?Mm nampenda sana anaimba mziki mzur ila nyotaaa hana jaman khaaa anatakiwa akaoge kijjn kwao tatizo uzungu ndo maana pooooh kabisa my jux
Bado wanapendana hawaHao wanazingua kwanza leo wamekuja gari moja nimewaona
Mkuu Nay ukimfuatilia anajua kuamsha amsha anachangamsha sana.Nay hapana
huyu ni recho temu ,ndogo wa hoyce temuRecho nywele kama tejaa Wa kike poooh na hereni zake kama bakuli za supu za mamantilie Wa tandika
Mh sasa jux anatangaza kwenda kulala na Vanessa
Hizi kiki hizi loh
Anaenda kupasha kipolo chake.Kwani ni vibaya?
Amuulize diamond alioga wapi jux anajua sana mziki hayuko mbali na kiba ila tatizo ndo hilo nyota yake ipo makaburiniKweli jamaa yuko poa ila tatizo nyota.
Yani sijui tatizo liko wapi.Amuulize diamond alioga wapi jux anajua sana mziki hayuko mbali na kiba ila tatizo ndo hilo nyota yake ipo makaburini
Na hakuna Msanii anamfikia ana sauti balaa anajua kupanga jukwaa na live band tatizo hatak kwenda kuoga kijjn kwao anajifanya Wa dar poooh kabisaUzungu mwingi kweli ila anafanya vitu jukwaani locally