Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

Hahahahah.. Njooni tu na ID mpya Ku msapoti Fareed Kubanda.. Nawaona tu mnavopinga kwa ID mbili mbili.

Whack rapper Zimaaa..

kwi kwi kwi kwi..umekosa hoja sasa,kaa kimya 'wanaume' tunaongea sasa!
 
kwi kwi kwi kwi..umekosa hoja sasa,kaa kimya 'wanaume' tunaongea sasa!

Duuuuh.. Kwa jambo gani uliloongea mkuu!? Au kuwaambia watu wako nje ya Mada ndo la maana!?

Au ni uongo kwamba hakuna junior member ambao kwa kiasi kikubwa wamechangia Mada hii tu!??

Then, sio kwamba Fid Q kakopi ngoma ya KRS 1 tu.. Kakopi nyingi na vitabu pia.

Namna Fulani wewe ni BWANA MTATA.
 
teh teh teh..mtu akiwa nje ya mada namwambia,kama nnavyokwambia wewe kutoa tuhuma bila ushahidi unaonekana MJINGA!
 
Kijana sio kila kitu unataka upewe ushaidi ata akili yako ukitumia vizuri itakupa ushaidi kamili punguwani wewe
 
Ukibishana na mjinga mtakuwa wajinga wawili nilichogundua kijana ajui mziki anajua wasanii
 
Paulo Sergio De Souz
mashahiri ktk sanaa inayohusiana na ushahiri,mziki ukiwemo,yalishaandikwa/imbwa zamani na kina shakespeare na kina shabani robert.kizazi chetu kinachofanya ni kuyafanyia modification tu.na ktk hilo unahitaji watu wenye kipaji cha ku-modify mashahiri kama fid q.ukisha lijua hilo hutopata shida.

tupac mwenyewe alishawahi kukiri kwamba,kipawa chake cha uandishi kilitokana na kusoma sana mashahiri ya shakespeare.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh.. Kwa jambo gani uliloongea mkuu!? Au kuwaambia watu wako nje ya Mada ndo la maana!?

Au ni uongo kwamba hakuna junior member ambao kwa kiasi kikubwa wamechangia Mada hii tu!??

Then, sio kwamba Fid Q kakopi ngoma ya KRS 1 tu.. Kakopi nyingi na vitabu pia.

Namna Fulani wewe ni BWANA MTATA.

Kakopy nyingi zipi mkuu!!

Tuwekeeni hapa basi tuone
 
Ulimjuwaje mchawi kama wewe si mchawi? So ukisema mimi ni shoga watu awata pinga coz watajua wewe ni shoga mwenzangu
 
Paulo Sergio De Souz
mashahiri ktk sanaa inayohusiana na ushahiri,mziki ukiwemo,yalishaandikwa/imbwa zamani na kina shakespeare na kina shabani robert.kizazi chetu kinachofanya ni kuyafanyia modification tu.na ktk hilo unahitaji watu wenye kipaji cha ku-modify mashahiri kama fid q.ukisha lijua hilo hutopata shida.

tupac mwenyewe alishawahi kukiri kwamba,kipawa chake cha uandishi kilitokana na kusoma sana mashahiri ya shakespeare.

Yaani kweli siku izi amna jipya kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Jesus aliukumiwa kwa ushaidi gani? Sio kila ushaidi ni waukweli kunaushaidi mwengine ni chenga punguwani
 
Kijana jaribu kufuatilia ujuwe hip hop imeanza kipindi gani na ujuwe kusudio la mziki wa hip hop ukijua ilo basi utakubaliana na wakubwa waliokuwambia kwamba fid q ana copy na ku past so awezi kuwa msanii bora wa hip hop tanzania labda uko kwao mwanza kwa washamba wenzake kama wewe na umulize uyo bwana wako fid q tangu ameanza kufanya fake hip hop alishawai kuitetea jamii au kuelemisha jamii kutumia fake hip hop anayofanya? Sisi watu wazima kuna wasanii wa apa tanzania wa hip hop tunaweza kuwasifia na kuwa eshimu kwa kazi zao za kuelemisha jamii na kuitetea jamii kupitia hip hop kama vile kijana Roma mka catholic au afande sele sio unamzungumzia fake rasta fid q wewe na uyo fid q wote amjui nini hip hop nawashinda ata mimi kijana wazamani
 
Paulo Sergio De Souz
mashahiri ktk sanaa inayohusiana na ushahiri,mziki ukiwemo,yalishaandikwa/imbwa zamani na kina shakespeare na kina shabani robert.kizazi chetu kinachofanya ni kuyafanyia modification tu.na ktk hilo unahitaji watu wenye kipaji cha ku-modify mashahiri kama fid q.ukisha lijua hilo hutopata shida.

tupac mwenyewe alishawahi kukiri kwamba,kipawa chake cha uandishi kilitokana na kusoma sana mashahiri ya shakespeare.

Rap ina kanuni na misingi yake Boss, mojawapo ni kutotumia kazi za rapa mwenzio bila ruhusa yake. Alichofanya hapa Fid ni wizi, katafsiri yaliyoimbwa na KRS One na kujifanya ni ya kwake. Kachukua idea, concept, mistari, mpaka maneno, sanaa aliyoongeza ni finyu mno. Unaweza kuchukua Idea na ku-develop concept yako mwenyewe (kwa ruhusa ofcourse), ila sio kutafsiri. Mfano mzuri ni alichofanya Ngwair kwenye 'Napokea Simu' kutoka kwenye track ya Jay, ile ndio sanaa. Au alichofanya Jay-Z kwenye '99 problems' kutoka kwenye track ya Ice T.

Alichosema Tupac hakiingii hapa kabisa, alimaanisha unajifunza kupitia kazi zilizotangulia, unatengeneza zako.
 
4. In hip hop there is such a thing as paying homage by quoting a great line. Jigga has done this plenty of times with Biggies lyrics.

Fid Q did not quote no lines, he stole the freakin song G. You wanna know what's paying homage?

Ngwair's 'Napokea Simu' and 'Tupo ndani ya Club', that's paying homage.

Snoop's 'I wanna rock right now(King's G-mix)' paid homage to Ra's 'Microphone Fiend'.

Fid's 'Nakufunikaah! kama...au zaidi ya Lord Eyes/' line, that's paying homage.

In this case FID-Q STOLE TEACHA's WORK. Do not try to justify, please!
 
.

Paulo kaweka hizo lines ambazao zingine hata haziendani Na maana ya FidQ.

Sidhani kama umeisoma post yangu vizuri, nimesema hivi "Nimegundua Jamaa ka-copy concept, baadhi ya mistari na maneno pia, japo kayafanyia sanaa kidogo."

Lines nilizoambatanisha hapo juu baadhi zanaonyesha maneno aliyoiba, pamoja na mistari, nyingine ni lines alizotafsiri. Ila since umefananisha 'Piga makofi' ya Jay na 'Make it clap' ya Busta, i think i understand where you're coming from.

Nilikua namjibu huyo jamaa aliooredhesha hizo nyimbo zinazofanana majina.

Kwa ile trend kama busta angeanza kutoa huo wimbo b4 jay naye angewekwa kwenye list.

Hivi hii line" Nichokoze bahati mbaya nikulipue makusudi" ni ya nani naona wengi wanaitumia
 
So huyo copy cat aliyekubuhu hadi Leo mmeleta hiyo mistari michache tu!!!

Leteni mimngine basi !!
 
Back
Top Bottom