Fid Q, How do you explain this brother?

Fid Q, How do you explain this brother?

Hiv Piga makofi ya Prof J imeigwa na Busta Ryimes sio.

Kumbuka si wote wanaojua kingereza, kama kachukua idea bado si mbaya maana std Maji marefu tumenufaika.
 
Nasubiri uweke zingine ziwe nyingi ndo nianze kujibu.

hizo zako haziwezi kumdiscredit Top Rap Elite wa Bongo.
 
Hivi kuna mtu anamsikilizaga GHETTO AMBASSADOR... mbona haigi!?

Sanaa gani hii ya kukopi!? Kuna vingi vya kuimba jamani... Madawa ya kulevya na Maradhi... Rushwa na Ubaguzi wa Rangi.

Mwambieni.. Aumize kichwa kama Anavyojitahidi kwenye baadhi ya Ngoma za Kushilikishwa.

we ni hater tuu,nishakusoma kitambo na nakufatilia katika kila post inayomuhusu Fareed..!!!nadhani mnataka kujilazimisha mnaijua Hip Hop wakati sio kweli,hamna kipya wewe na mtoa mada Fareed ataendelea kuwa best Hip Hop MC and best lyrical kwa wakati huu
 
"Hayo Maneno ya kishoga, na ukiendelea nitakuteka" #NashMc .

Siijui Hip Hop.. Are you happy then!?

Sijawahi mchukia Kubanda's son.. Naongea kile ambacho kina ukweli ndani yake.. #Sihitaji_Marafiki
#Ielewe_Mitaa
#Agosti13
#Siri_Ya_Mchezo

Hizo zote ni track Kali (HATA KWANGU MIMI) lakini, Zina Walakini.. Ambao mtoa Mada Kaanza kuuanika hapa.

Hivi unakumbuka copy and paste ya Ze comedy kuhusu huyu ONE MAN ARMY!? vipi kuhusu mwanetu Langa(R.I.P), na hiki kilicholetwa na Paulo Sergio De Souz je.. Wote wanamuonea NGOSHA.!?
 
Last edited by a moderator:

hata Nelson Mandela alisha wahi kusema "No one is born hating another person because of the color of his skin, or his background, or his religion. People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite." Hakuna ukweli ulio uweka hapa zaidi ya majungu tu,hiyo ya zecomedy alishatoa ufafanuzi siku nyingi hata hiyo..Kuhusu Langa katika sehemu gani sasa au katika nini??
 
we ni hater tuu,nishakusoma kitambo na nakufatilia katika kila post inayomuhusu Fareed..!!!nadhani mnataka kujilazimisha mnaijua Hip Hop wakati sio kweli,hamna kipya wewe na mtoa mada Fareed ataendelea kuwa best Hip Hop MC and best lyrical kwa wakati huu

teh teh teh teh....umewasoma vyema sana!...aibu yao lakini,mana wanaungaunga sana hoja zisizo hata na mashiko!.
 
"Hayo Maneno ya kishoga, na ukiendelea nitakuteka" #NashMc .

Siijui Hip Hop.. Are you happy then!?

Sijawahi mchukia Kubanda's son.. Naongea kile ambacho kina ukweli ndani yake.. #Sihitaji_Marafiki
#Ielewe_Mitaa
#Agosti13
#Siri_Ya_Mchezo

Hizo zote ni track Kali (HATA KWANGU MIMI) lakini, Zina Walakini.. Ambao mtoa Mada Kaanza kuuanika hapa.

Hivi unakumbuka copy and paste ya Ze comedy kuhusu huyu ONE MAN ARMY!? vipi kuhusu mwanetu Langa(R.I.P), na hiki kilicholetwa na Paulo Sergio De Souz je.. Wote wanamuonea NGOSHA.!?

hoja muflisi kabisa!....unatafuta backup ya hata Ze Comedy?..huwezi kuwa serious!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli utasimama.. Kua serious kwa kubonga na Fareed Q ili aache kukopi... #DANGER

acha mboyoyo wewe!...alianza mwenzio Paulo kudai tumwambie Fid eti heshima yake kwenye rap game itayumba sana once he's done with him!....ona uharo aliokuja kuharisha hapa!....
 
Wasanii wa tanzania wanaumiza vichwa kusikiliza nyimbo za hip hop za marekani na kucopy wengine wanaumiza vichwa kutunga mashairi wakati wasanii wa mbele wao uwa awaumizi vichwa coz sio watu wa kutunga wao wanacho fanya ni kuandika vitu ambavyo wanaviona kwenye jamii na vitu vinavyousu maisha yao ao ndio tunawaita
 
Kijana mziki umeanza kuhujua jana wewe ao wanaokueleza ni old school na ndio mana wakakupa mistari ya wasanii wa mbele na kukupa mistari ya fid uyo msanii wako fid awezi kuwa best hip hop kama anacopy na kupast jombii usanii ni kazi wewe dogo ni mshabiki wa fid sio mshabiki wa hip hop jipange hip hop ni true life sio fake life
 
teh teh teh teh..umekurupushwa usingizini?...kajifunze kuandika na kujenga hoja kwanza!..Fid anawezaje kuwa 'best hiphop?'.nyambaaaf!
 
Sio mbaya katusaidia sisi ambao hatuwezi kumskiliza uyo KeaLesiWani... so... ni kawaida tu... still Fareed Ni Fid Q coz Kuna F kwny Flow...
 
unaweza kusema amecopy bt isiwe kwel coz hat the way umehusianisha hzo lyrcs umeungaunga saaana!! fid q z a best rapper joh na itabak kua hvo mbna we cjackia hata uliocopy
 
kiungwana anatakiwa kuapologize na kuomba mods waufute tu huu uzi!umempunguzia 'nyota!'
cc: Paulo Sergio De Souz kwa utekelezaji
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah.. Njooni tu na ID mpya Ku msapoti Fareed Kubanda.. Nawaona tu mnavopinga kwa ID mbili mbili.

Whack rapper Zimaaa..
 
Back
Top Bottom