b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,113
Imba wewe kuhusu madawa, rushwa uone kama kuna mtu atakusikiliza! guys mnachukulia mambo rahisi sana.
Wote tukiwa wasanii nani atawalinda!? Nani atafundisha mashuleni!? Hakuna anaye chukulia simple.. Ila tunakemea mambo yalio nje ya misingi ya utamaduni huu.
Kufanya Rap haimaanishi unaujua utamaduni huu wa hip hop vema...