Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
haha nimekusoma Mbishi, wengi wanaweza ila wanajisahau tu kidogo.
Noma sana, ila inabidi wakumbushwe miiko ya sanaa.
anadhani kuongea kingereza cha hivyo basi ataonekana bonge la mwana hip hop... mchambuzi mzuri...
Hip hop ya Langa alicopy kwa juel ortiz
Ingekua vp ya mwanaFA alicopy kwa Fredro Star what if
Weusi watoto wa Mungu walicopy children of God ya heavy metal king
Wasanii wengi wa bongo almost 90 # wanacopy
Kwa ushahidi gani hapo??.
Walipinga(Tulipinga) ushindi wa Joh ule wa maandishi bora wa hip hop .
Kwani Joh hawezi kuandika ila anaunha unga vina visivyo Na maana.
Niki wa pili ni mkali wa kuandika kuliko Joh.
Paulo kaweka hizo lines ambazao zingine hata haziendani Na maana ya FidQ.
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l
Nakubaliana nawe kuhusu Nikki kumzidi kakake kwenye mashairi,wewe ulikuwa unasema MwanaFa ndio anastahili hiyo tuzo na nilikwambia kuwa tuzo za KTMA ziliharibiwa na team Kiba Vs team Diamond
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l
Khamis is still a best song writer of its own kind.. Namkubali Jamaa.
Asante mkuu,nimepitia What if na Ingekuwa vipi .MwanaFa alicopy na kupaste kabisa,Huu mjadala tukienda nao vizuri utatusaidia kuwafahamu wote wanaocopy binafsi nilimweka MwanaFa kama mmoja ya waandishi bora hapa Tanzania l
sijakuelewaDogo wannabe, rudi shule upate kujitambua. Usipende kulazimisha vitu kwani unapotoka na kuonekana mjinga.
Ni kweli kabisa....watu wanalazimisha tu vitu. Toka lini mwanamuziki anatembea na begi lililojaa CDs za Karaoke? Tuweni wakweli jamani, kwanini media haswa Clouds FM wanaforce kuua muziki wetu wa asili? Mbona kama unga walishauza sana kutumia hawa wasanii wa fleva, yaani bado hawajatosheka tu mpaka wakamatwe?
Nilichoahidi jana sitaweza kukitekeleza leo kwa sababu kadhaa. Ila kesho kama kawa.
Mkuu Paulo SERGIO @de @souz ninaposoma between your lines nakufananisha na mkuu TUPACified (sijui kama nimepatia jina ila simuoni siku hizi) ....
Mkuu Paulo SERGIO @de @souz ninaposoma between your lines nakufananisha na mkuu TUPACified (sijui kama nimepatia jina ila simuoni siku hizi) ....
kwi kwi kwi kwi....ndie yeye!...A-towner mwanaAppolo!
Hahaha, hii mbona nilishaielezea mwanzo kabisa nilivyoanza. Ni alter-ego wa TUPACified, Jamaa alipoteza bet, so anatumikia adhabu ya kukaa benchi mwaka.