andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 22
Duh,kwa hiyo hapo hamna namna nyingine ya ku-trick enhee? mi kuna site nimeona wanalipa kila unapo-download na ku-install toolbar yao sasa nikaona kama ni hivyo siwezi kuwa na-download alafu na unistall kisha nabadili IP adress then na-download hivyo hivyo mara kadhaa kwa siku alafu naingiza mkwanja wangu hapo (Bado nasisitiza mi sio mkali wa IT kama nakosea nirekebishwe)At one point in time Google watakukamata na utajutia account yako yako ya adsense!
Kipindi ukiwa na mawazo kama haya kuna wanadamu wengine mamillion wanajaribu kufanya huo uhuni tena unfortunately kwa kutumia zile zile VPN common hivo hata google inawawia rahisi kujua uhuni huu!
Leta maujanja hapa acha maneno mingiNdio unaweza ila usiniulize kwanini
Mkuu ukipata solutions please nitag!!!Naomba msaa ndg zangu nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kuaccess free internetbkwa njia ya VPN. Lkn nimjaribu mara kadhaa bila mafanikio. Nikawa najipa Moyo labda kuna sehemu nakosea katika kuunganisha. Plz mwenye ujuzi wa Kuaccess Free Internet kwa njia ya VPN anijuze maana daa naona maisha magumu sana. Natumia samsung galaxy j7
hakika.Kumbe uchumi ukikaza watu ndo wanazidi kuwa creative
Hapana.!Naomba msaa ndg zangu nimekuwa nikisikia kuwa unaweza kuaccess free internetbkwa njia ya VPN. Lkn nimjaribu mara kadhaa bila mafanikio. Nikawa najipa Moyo labda kuna sehemu nakosea katika kuunganisha. Plz mwenye ujuzi wa Kuaccess Free Internet kwa njia ya VPN anijuze maana daa naona maisha magumu sana. Natumia samsung galaxy j7
Kama hujui kitu kaa kimyaHapana.!
VPN ni kifupi cha maneno haya...Virtual Private Network.
Hii ina maana, ukishajiunga na internet yako (yaani ukiwa online katika kifaa chako eiza simu au kompyuta) unapata kitu kinachoitwa IP Address ambayo kimsingi inaonesha wapi kifaa chako kimeunganishwa na internet iyo (yaani ina ku'pin point)
Sasa kwa kuweka VPN inakupa address nyingine tofauti yaan kwa mfano VPN yako ni ya USA basi automatically mtu akiangalia upo wapi kwenye kifaa chako ndio itaonesha upo uko USA na si iyo excatly location uliyopo.
Nimefafanua kidogo kwa uelewa wangu, wengine wanakuja watajazia pale nilipoacha na kunikosoa pia inaruhusiwa.
Melvine.!
Sasa wewe unajua Si useme.... Daah uswahili bna ...funguka mawazo yako tujue mkuuKama hujui kitu kaa kimya
VPN ndio mpaka 2014 watu humu JF tulikuwa tunatumia kupata unlimited internet lakini watu waliexpose hizo njia na mitandao husika walifunga milijaSasa wewe unajua Si useme.... Daah uswahili bna ...funguka mawazo yako tujue mkuu
Kama hujui kitu kaa kimya
Poaa mkuu uko vemaVPN ndio mpaka 2014 watu humu JF tulikuwa tunatumia kupata unlimited internet lakini watu waliexpose hizo njia na mitandao husika walifunga milija
Kama hujui kitu kaa kimya
you are about to spoil it mkuuUnataka kwa simu au kompyuta
Hii kitu ipo mpaka sasa
Siwezi kuweka hapa hata kidogoyou are about to spoil it mkuu