Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
Ngeleka pfo mpaka warumu wamuwaaeCha lyeka bana
Ngeleka pfo mpaka warumu wamuwaaeCha lyeka bana
Na bado. Karma inamshuhulikia kisawasawaHana uwezo wakuwa huku mkuu, sasaiv hata baiskel hana
When you fail to plan, you plan to fail.Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu kuachana na matumizi ya dawa hizo. Muimbaji huyo amedai amejikuta akitenga bajeti kubwa ya fedha kwa matumizi ya kutumia dawa.
“Ninawaomba wasanii wenzangu wasitumie dawa maana ni vigumu kuacha. Natamani sana kurudi kama zamani ili heshima yangu iwepo ila inanisumbua, lakini naamini iko siku,” Ferooz aliliambia gazeti la Mtanzania.
Hata hivyo muimbaji huyo alipoulizwa ni wapi anaponunua Madawa hayo hakuwa tayari kutaja.
Mkuu, binadamu tumepewa akili ya kufanya choices.. He decided to make a wrong choice.. Kwanini umuonee huruma..?Kuwa na huruma mkuu huoni wanavyokauka kama mti uliokosa maji
Ndio manake mkuu, kachoka kinoma!Aiseee unataka kuniambia hata chid ana afadhali kuliko feruz
Utamu wake ni Mara 1000 kwa Papuchihiiii hatar wenywe wanakwambia hata papuch haion ndan kwa utamu
Hata mi nilimhisi ni huyu huyu...doh maskinihahaahahah...seretungaaaaa
Mkuu wewe starehe yako ni kupigwa p.u.*.*.U tuu, sasaiv ukimpa chid Benz papuchi hata pa kuingiza hapajui tena kapasahau
itsyo ni mbakaNgeleka pfo mpaka warumu wamuwaae
Nenda Muhimbili Hospital kitengo cha akili kuna watu wa kila aina mpaka madaktari waliokuwa na matatizo ya ulevi wa kupindukia wapo na wenyewe wapo katika kundi ilo la akiliHii starehe ni kwa ajili ya wasanii tu sio..Mbona sioni ma Prof,ma Dr na wengine wakila hii kitu
Ngoma inogile....wananunua kwa pusha kisha wanaenda DagoMsanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu kuachana na matumizi ya dawa hizo. Muimbaji huyo amedai amejikuta akitenga bajeti kubwa ya fedha kwa matumizi ya kutumia dawa.
“Ninawaomba wasanii wenzangu wasitumie dawa maana ni vigumu kuacha. Natamani sana kurudi kama zamani ili heshima yangu iwepo ila inanisumbua, lakini naamini iko siku,” Ferooz aliliambia gazeti la Mtanzania.
Hata hivyo muimbaji huyo alipoulizwa ni wapi anaponunua Madawa hayo hakuwa tayari kutaja.
"huyu kijana ameshadata na hivi ndivyo akili umtuma akishapata"Alisema ''Sisi tulimwambia lakini hakusikia, Madawa ya kulevya kwa pupa kavamia''!!
Wimbo kautunga mwenyewe akimsema mwanae Daz Baba hawezi kuwa kishausahauKamsikilizishie inawezekana akapata ujumbe akajuta na kuacha
Tembea uone.Hii starehe ni kwa ajili ya wasanii tu sio..Mbona sioni ma Prof,ma Dr na wengine wakila hii kitu
UFILIPINO MKUUWapelekwe Indonesia kwa yule Raisi waponywe