Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Inasikitisha. Nani alimfundisha? Hivi hana mume/ watoto.
Hawa madogo utasema umri, kampani, kuiga etc. Ila mtu kama Rose kuwa teja haiingii akilini kabisa! Maana hata disco haendi useme amejifunzia huko...
Kuhusu madawa kuingia kwenye matumizi
Mtu yoyote anaweza kuingia mkuu inategemea na we uko vp!
Na ktk maisha yako hata siku moja usimdharau mtu aliyeandika kwenye matumizi ya madawa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom