Dawa ya kutibu kifua ilivyogeuka kuwa kilevi cha madawa ya kulevya

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Kipindi kile miaka 2004 kwenda mbele msanii maarufu kwa jina Lil Wayne alijozelea umaarufu na swaga zake za kushika muda wote kikombe chekundu ambacho watu wengi walitaka kujua anaburudika na nini?

Upande wa Marekani kuliibuka tabia ya vijana wengi kutumia dawa maalumu ya kifua kwa jina moja wapo Codeine.

Codeine ni dawa ya Morphine inayotumiwa hasa kutibu maumivu, kukohoa, na kuhara. Pia hutumiwa kama dawa ya burudani.

Inapatikana kwa asili katika utomvu wa afyuni poppy, Papaver somniferum.

Kawaida hutumiwa kutibu maumivu na kileta ganzi.

IUPAC ID: (5α,6α)-7,8-didehydro-4,5-epoxy- 3-methoxy-17-methylmorphinan-6-ol

Formula: C18H21NO3

Usajili namba ChemSpider ID: 4447447

Dawa hii imewekwa kwenye listi ya madawa ya kulevya na hupatikana hospitali kwa kibali cha daktari ila inatumiwa vibaya sana.

Vijana wengi wametumbukia kwenye matumizi ya dawa codeine na uwafanya mateja pindi wanapokosa.

Uchanganywa na soda zenye msisimuko kama sprite na nyinginezo.

Serikali chunguzeni


images%20(86).jpg
View attachment 2560656
 
Washenzi hawa wamesababisha dawa Bora kabisa ya cough suppressor syrup ya Benyln with codeine kupigwa marufuku 😤😤😤
 
Hii mbona kitambo sana joberg na Cape town warangirangi wanakunywa kama hawana akili nzuri.
 
Back
Top Bottom