Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Bnafai hawa wasanii wanayokutana nayo(MADAWA) nawaunga mkono waendelee tu maana kama wanajiita kioo cha jamii. Je, kufanya hivo ndo kioo cha jamii? Huu upumbafy sio wa kuvumilia hata kidogo. Niliposikia sikia humu jamii forum kuwana Hemed anatumia MADAWA ys kulevya(PHD) nimepiga marufuku kuangalia bongo mavi(movie) ndani kwangu. Wanafundisha ujinga ujinga tu kwa watoto wetu
 
~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
Ha ha ha haa!
 
79ea88ac3b7c1bce42b2fb8485ba523a.jpg
lahaulaaaaaaa mr blue labda aache jana au leo


Huyu c alitangaza ameacha mpaka bangi
 
Weeekaaaa babaa tumiaaaa mzeee huo ndo utamu wa dunia uliobak kwenu

Mafans tulikupenda ila unga umekupenda zaid
 
Back
Top Bottom