Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

Wakiulizwa wanaponunua hawataki kutaja, ina maana wanaogopa hawatauziwa tena? Sasa kama una nia ya dhati kabisa kuacha ni bora umtaje ili kesho asikuuzie tena
 
Eti nasikia wenyewe wanadai kuwa huwa wakitumia hiyo inawasaidia kuperform vizuri!!!!!!
 
ukipita uswahilini maeneo kama mtogole na kwingineko unakuta kuna viatu vimetundikwa juu wa nyaya, niliwahi kuuliza maana yake nini nikaambiwa ni maeneo ambayo madawa ya kulevya yanauzwa. Kama ni kweli, nina imani kama kweli polisi kitengo cha madawa ya kulevya wana nia ya dhati kutokomeza basi wangeanza kutokomeza haya maeneo pamoja na wauzaji wake. ku deal na mtumiaji wakati muuzaji anaachwa sio solution.
waanze na hayo mapapa
 
Wakiulizwa wanaponunua hawataki kutaja, ina maana wanaogopa hawatauziwa tena? Sasa kama una nia ya dhati kabisa kuacha ni bora umtaje ili kesho asikuuzie tena
Arosto inaweza ikamuua mraibu, bila kua na uangalizi mzuri mraibu hushindwa kuhimili yale yanayomtokea wakati akiwa anapigania kuacha na kujikuta anarudia tena.

Waraibu huiogopa arosto bila kujali anataka kuacha au hataki. Ndiyo maana hawawezi kutaja.
 
79ea88ac3b7c1bce42b2fb8485ba523a.jpg
Hii wamemtumia Mange?
 
"Hata Mola yeye amtii ukimkuta amesizi ziiiiiiiiiiiii"

"Kijana mteja Kijana mteja ameshadata yupo kwenye utata ×2"

"Alishapora simu mjumbe ikawa mgogoro kazi kutia watu roba kwenye uchochorooooo"

Alichokiimba Feruz ndio kinamrudia mwenyewe alafu wala asijali wala nini aendelee kuvuta tu
 
Daah hali ni tete sana
Ndio maana niliwahi kusisitiza picha za watumiaji ziwe zinawekwa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii kuonyesha kabla na baada kama hii hapo juu,hii itasaidia kwa yule anaetaka kujaribu au ambaye hajatumia kabisa aingiwe na woga.
 
~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
 
~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
Kwa hiyo Mzee umeamua bora ubaki na show zako za dakika mbili
 
~~~~>>>>Hii kitu ilinikosa kosa baada ya Jamaa yangu kuniambia kuwa Ukitumia madawa utachelewa kupiga bao [Kukojoa]..........

Namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi ktk kuniepusha na hili.
ungekuwa teja
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom