Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,881
- 36,244
Katika wimbo wake mpya unaoitwa Nakaza roho, Ferooz ametapika sana nyongo! Kikubwa kasikitishwa na ndugu zake wa karibu Prof J na Chege kumtenga na kutotaka hata kumsikia.
Ameenda mbali zaidi na kudai ndoa yake imevunjika na mke kamkimbia, kifupi ni ngoma kali sana na inaweza kumrudisha kwenye chart.
Sikiliza na download wimbo hapa
Ameenda mbali zaidi na kudai ndoa yake imevunjika na mke kamkimbia, kifupi ni ngoma kali sana na inaweza kumrudisha kwenye chart.
Sikiliza na download wimbo hapa