Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
"Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya" Starehe by Ferooz.
Sina mfano wa mla unga aliyeshauriwa akarudi kwenye gemu akasimama!Nadhani bado hajapata Washauri wazuri!
Ha a h a a.., Mkuu utaambiwa unanyanyapaa!Sina mfano wa mla unga aliyeshauriwa akarudi kwenye gemu akasimama!
Nipe mfano mkuu?Ha a h a a.., Mkuu utaambiwa unanyanyapaa!
Tena ni kosa kubwa sana la kiufundi hahahaNi kosa kubwa sana kukazania kulaumu Watu hawakusaidii kwa makosa yako mwenyewe badala ya kupambana na hali..,
Wakat ule anatembelea jeep mbona wenzake hawakutoa lawama
Katika wimbo wake mpya unaoitwa Nakaza roho, Ferooz ametapika sana nyongo! Kikubwa kasikitishwa na ndugu zake wa karibu Prof j na Chege kumtenga na kutotaka hata kumsikia.
Ameenda mbali zaidi na kudai ndoa yake imevunjika na mke kamkimbia, kifupi ni ngoma kali sana na inaweza kumrudisha kwenye chart.
Sikiliza na download wimbo hapa
Young DeeSina mfano wa mla unga aliyeshauriwa akarudi kwenye gemu akasimama!