Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, aliyekuambia nahitaji sympathy yako ni nani ewe nabii feki na mwanasaikolojia uchwara, kwamba wewe ndio unanijua vizuri kuliko mimi mwenyewe na wanaonizunguka
Lakini si ndicho ulichomuonyesha kuwa hauna sifa za kuwa mke wa mtu au?
 
nashangaa wanawake wakisema equal Rights Hivi Michael Jordan angecheza Women Basketball pasingekuwa na ushindani .... Iko hivi mwanaume anazo Kazi zake mwanamke hafanyi na Mwanamke anakazi zake mwanaume afanyi Period,
Ngoja tu nikwambie mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huko marekani wanawake walienda mahakamani kudai kwamba ligi yao imeingiliwa na athletes wa kiume. Sio tu kwenye mpira wa kikapu,mashindano ya kuogelea,riadha,na ndondi.

Wanaume wanaojifanya ni wanawake a.k.a transgenders wanajisajiri katika hizi ligi wanachukua ushindi kila siku wanawake hawawafikii hata kidogo. Wanachukua medali kirahisi na kulipwa hela nyingi wanawake wanakosa.

Wameanza kwenda mahakamani kudai kuwa transgender wasiruhusiwe kucheza ligi zao waandaliwe ligi ya pekee yao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa jamani si tulikubaliana kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa. So mwanaume akisema yeye ni mwanamke ni sawa na kwann azuiliwe kucheza na wenzake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka kumkamta huyo jadda usijaribu ku attack uanamke na kasoro unazoziona kwao isionekane Kama unachukia wanawake au nawewe radical Kama yeye,anavyoongea Kama anachukia wanaume,is it personal?? anyway shambulia ideology...
Huyu binti kwanza anaonekana ni mfupi chini ya futi tano in real life. Maana huwa anabishana kama hobby. Anaweza akasema kitu mwenyewe,ukimbana anabadilisha topic.

Mfano anaweza kusema wanaume ndio chanzo cha matatizo kwenye ndoa kwasababu sio waaminifu. Hapo automatically ana suggest kuwa wanawake ni waaminifu na hawana matukio ndani ya ndoa.

Ukimwambia kwahiyo wanawake wanawake ndio waadilifu anasema ndio. Mpindulie swali sasa,muulize, mbona kuna swala la wanawake wengi sana kubambikia mimba wanaume na kuzaa watoto wasio wao,na vipi kuhusu wanawake kutoka nje sababu ya maswala ya kausha damu, vipi hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utaskia anabadili gia angani. Kwani huwa wanatoka na akina nani kama sio wanaume? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ So ukishamjua ni kumuaibisha tu kama hivyo.

Mimi huwa namburuta makusudi ili aanike ujinga wake hadharani kwa mareply yake marefu kama movie ya kihindi.
 
ungependa Uwe Na Equal rights gani??? kama michezo mnayo mnashindana na wanawake wenzenu kama ajira mnaajiriwa tatizo likowapi? samia sio Female?? Mpaka sasa sielewi wanataka wachezee mpira ligi ya wanaume ama wanataka Kupewaa Vipande watembee navyoo
Sasa utaona majibu yake namna atakavyoanza kuhama hama. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja tusubirie aje.
 
Nani kakwambia wana matatizo ya akili? Kwa sababu hata wewe unavyolalamika hapa kuna watu wanaweza kuona hivyo hivyo kwa upande wako.
So hadi umri huu haujui kitu kinachoitwa trauma? Yaani wewe ukimuona baba yako anampiga mama yako,lile jambo kiakili halita kuathiri?

Unanijaribu au nikueleweje?
 
Hata pa kuanzia sina. Haujui unachoandika. Ni upuuzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Bila shaka wewe ni incel na ni mtu wa kuonewa huruma.

Amandla...
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
 
Iwe kubwa mara ngapi? Ndoa ngapi zimevunjikq kwa wanawake kujigeuza jike dume, mtaani watoto wakiume waliogeuka kuwa mashoga kwa kulelewa na mama zao TU, madhara yamekwisha kuwa makubwa sana.na bado serikali inaangalia watu kama Joyce kiria wanaubili kwenye mitandao kuwapotosha wengine.
Jamii yetu kama kawaida ita ignore this, wako busy na umbea na michezo.
Until damage itakapoanza kuwa kubwa kuliko ndipo wataanza kupiga kelele when it too late
Ku
 
Yes nakubali damage imekuwa kubwa, watu akina joyce kiria & co wanaachiwa wazidi kusambaza sumu. Serikal iko busy na uchaguzi, it sad
 
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu ambaye hajui hata maana ya maneno anayoyatumia. Maneno kama Feminism, Δ’ender Dystopia na at a basic level, Tomboy! Mtu ambae ignorance yake inazidiwa tu na arrogance yake. Mtu ambae ni mfano wa wale ambao Robert Nesta Marley aliwaita "educated fools".

Amandla...
 
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu ambaye hajui hata maana ya maneno anayoyatumia. Maneno kama Feminism, Δ’ender Dystopia na at a basic level, Tomboy! Mtu ambae ignorance yake inazidiwa tu na arrogance yake. Mtu ambae ni mfano wa wale ambao Robert Nesta Marley aliwaita "educated fools".

Amandla...
 
Uongoo
 
Typical feminist single mother with two kids from four different fathers, of which two of the fathers ni wa kubambikiziwa yaani.....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ poleeee
 

Naona ungekuwa una uwezo ungepiga marufuku watoto wa kike kuingia darasani. 🀣🀣🀣
 
Ina maana huoni tofauti kati ya mwanamke aliyezaliwa naturally mtoto wa kike na mwanaume aliyejibadili jinsia na kuwa mwanamke???!!!!
 
Feminist ideology haikuanza jana au juzi. Imeanza kitambo tu. Lakini kwanza tuelimishane kuhusu misamiati inayotumiwa ovyo ovyo.
Nani aliyekwambia imeanza jana. Kama haujaelewa kitu usikurupuke.
Halafu unahisi umekuja kunifunika. Na hata hauna unachojua kuhusu hata malesbian. Hiki ulichokiandika hapa ungefuta tu. Wewe unawajua vizuri matomboy au umeamua tu kuleta ligi. Yaani unakataa kwamba matomboy sio malesbians?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah
Wewe una matatizo sio bure. Ni wapi nimetumia neno dystopia,hii ndio shida ya kukurupukia topic na haujasoma kwa utulivu ukaelewa vema mada inaongelea nini.
Ni gender dysphoria sio Gender dystopia. Unskurupuka hata maneno huyajui vizuri.

AIsee hadi unanipa uvivu kukujibu. So mashoga huwa wanajitambua kama nani ukiwatazama? Yaani unakataa kuku sio ndege halafu unamuelezea tena kama ndege.

Wewe unawajua mashoga vizuri kwanza,hebu nenda kasome tena definition ya neno "Gender dysphoria" kisha rudi hapa uje unambie vizuri mashoga wanachopitia ni kitu gani,mbona hauna akili hivi?πŸ€”

Unajua kabisa kuwa mashoga ni wanaume ambao wanajikataa kuwa wao si wanaume bali wanajiona kuwa wamezaliwa na jinsia ya kiume kimakosa ndio maana unaona wanataka kuingiliwa na wanaume wenzao na kuvaa kama wanawake ili tu kuridhisha nafsi zao kuwa wao ni wanawake. Sasa how is that not related to gender dysphoria? Mxiem πŸ˜’ 😐 😐 umeshaanza kunikera na ujuaji wako mwingi na hakuna unachojua.
So kwa mfano mwanaume anazaliwa na gender dysphoria halafu akaenda kubadili jinsia yake awe mwanamke, akilala na mwanaume anakuwa amelala na jinsia opposite na yake au nikuelewe vipi?

So wale wanaume wanaojibadili jinsia huwa wanabadili genes zao kuwa wanawake?
Mfano wewe ni mwanaume ukilala na transgender,unakuwa umelala na biological female? How is that not homosexual relationship?πŸ€”

Hebu kuwa makini na hoja zako.
So how is this relevant to the topic bado sijaweza kuconnect why unatupa definition ya hizi terms as if tunazidiscuss zenyewe.
5. Transvestites ni wale wanaopenda kuvaa nguo za jinsia nyingine. Ingawa wengi wanakuwa homosexuals lakini sio wote. Majina yao mengine ni cross dressers au drag queens. Rupaul ni Drag Queen maarufu.

Amandla...
Again,why tunapeana hizi definition?
 
Una uliza? Una hoji? Au unasema?
James Delicious ndio nani?
Nimekuuliza wewe ni shoga?

Wewe usimjue james delicious wakati kule juu unejitambulisha kama Mayor wa Fagzville?πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…