Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,048
- 4,449
Haya wadada wa Jf mpo kwenye kundi gani? Lara 1 mwaga wino
![]()
Haya wadada wa Jf mpo kwenye kundi gani? Lara 1 mwaga wino
Bora!
Wataalam wa mambo wanasema pesa mwana haramu!
Mbona kuna kundi moja tu?
Wadada msikane, sio lazma uwaze pesa zake (unaweza ukatoka na apeche alolo). Unakuwa unawaza za kwako, kama genge leo limeingiza sh ngapi na kama samali waliobaki wamewekwa.kwenye friji!
Ukweli ndo huo....
sipo huko.