kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Kwenye Nchi Kuna mashabiki wengi Ni washamba kabisa Tena wa yanga wengine wapo Huku jf kama@hydroxo@tate mkuu@kipenzi changu@isanga family@abuu kauthari@mtu asiyejulikana.wapo wengi Ila hao Ni baadhi tu
Wamekuwa wakijadili upumbavu tu ambao hauna mantiki yeyote mfano kwenye kauli aliyoisema HAJI MANARA kuwa
"Yanga walizuiwa kushiriki mashindano ya CAF kisa kuhonga marefa na hiyo tabia wanayo mpaka leo"
Hiyo kauli ya manara inaubaya gani na wakati kaongea ukweli usiofichika .
Yaani huyu bro HAJI MANARA NI Kama Mimi@kibaigwa finest anajibu kwa facts tu niliona baada ya yanga kufungwa na simba siku iliyofuata haji alienda kijiweni akatoa facts zake na kuwaelimisha mashabiki ambao hawajui mpira kuwa mpira wa Simba Ni hatariiiii na hawatumii sindano
Manara Ni mwanachama kutoka tawi la SARAMANDA ambalo ndiyo tawi kubwa la yanga na anakadi ya uanachama Tena Ni black card ambayo anakupa kwa mwaka million moja sio 2000kwa mwaka Kama hao wakina@hydroxo na kundi lake wa Huku jf