FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca did not play as a unit
Midfield generals were not spraying those telling passes ambazo Basquets anaziweza sana,na Messi ndio mtaalam
Semedo must do more -defending pekee haitoshi,inabidi afike kwenye opposing touchline na ku cutback mpira
Dembele chip yake hai function in micro seconds he ends up in blind alleys
We need Neymar on the flanks,only then teams zitaogopa kutu press high up-Dembele timu hazimuogopi
Velverde makes us boring to watch yaani identity ya Barca inapotea kabisa.How he survived on the job is a million dollar question.
 
yani we ndo taka taka shabiki uchwara kazi kuropoka tu.
emu angalia takwimu za huyo naymar na dembele kwa misim miwili ya kwanza utaona nani yupo juu afu ndo urudi tena jukwani hapa kuongea pumba zako
kweli kuku ni kuku tu Dembele wa kulinganishwa na Dicson ambundo unamlinganisha na neymar?

Dembele hajamfikia ata Iddy nado .

jaribu kuficha ujinga wako wakati anatambulishwa danadana 4 zilimshinda unamlinganisha na little gaucho?
 
Mmiliki wa Manchester City, Khaldoon Al Mubarak: Tulimuomba Pep Guardiola azungumze na Messi ilii ahamie kwetu na tukamuahidi mshahara mara tatu ya anaolipwa sasa ila alikataa bado.
 
Leo pia Real Madrid naye anakufa pale celta vigo
Nyie Barca Kwa kocha huyo msimu huu ni wabovu mno, so hamuwezi kuwa benchmark kwa Real madrid aisee. You should focus on your next game na Real Betis. Timu ninayoiona itasumbua msimu huu sana sana ni Atletico Madrid!
 
Nyie Barca Kwa kocha huyo msimu huu ni wabovu mno, so hamuwezi kuwa benchmark kwa Real madrid aisee. Focus on your next game na Real Betis. Timu ninayoiona itasumbua msimu huu sana sana ni Atletico Madrid!

Kuhusu Atletico ni kweli wapo vizuri Barcelona Messi anarudi next game na ana goli zake mbili kama sio tatu,

Madrid Leo hapati ushindi hazard hayupo na wazee wenu Ramos na Modric lazima mfungwe tu
 
Kuhusu Atletico ni kweli wapo vizuri Barcelona Messi anarudi next game na ana goli zake mbili kama sio tatu,

Madrid Leo hapati ushindi hazard hayupo na wazee wenu Ramos na Modric lazima mfungwe tu

Mzee elewa kwamba kwa sasa Madrid hakuna dependency, iko kiteam zaidi! Hazard hakuletwa kuja kuwa tegemezi pale.
 
Nyie Barca Kwa kocha huyo msimu huu ni wabovu mno, so hamuwezi kuwa benchmark kwa Real madrid aisee. You should focus on your next game na Real Betis. Timu ninayoiona itasumbua msimu huu sana sana ni Atletico Madrid!
Yani nyie Real Madrid msiongee kabbisa.
Yani wachovuu wachovuu kushinda Barca
 
Hahahha! Na wala hatujapambana sana ndomana hatujapata hiyo sare.Tumeshinda 3-1 tukiwa pungufu uwanjani, unalizungumziaje hilo Ummayed kashasha?
Hahaha kaka umeshinda bhana wacha nilale umeshinda.
Ila kuna mechi tutakutana tuu.
Ikiwemo el classico.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom