Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,133
- 201,168
Amekosa vision kabisa
Anashindwa hata na Duvan Zapata wa Atlanta
Anashindwa hata na Duvan Zapata wa Atlanta
He played good ,na mimi nimeshaingia kwenye mkumbo wa kutokumuelewa SuarezLeo dembele simwelewi kabisa.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
All blames kwa kochaA very poor performance
Poor ValverdeKocha ana droo mechi 5 mfululizo, ndoto yetu ya treble itatimia kweli!
Nilisema tumefanya kosa kubwa kumpa mkataba huyu kocha ngoja niseme kwa hasira kuna mbwa alisema nimeacha kushabikia madrid lini? Hapa hatuna kocha tuna mzimamizi wa wachezaji walimu wa kawaida sanaAll blames kwa kocha
Mourinho? are you serious?Kocha kapewa mkataba wa mwaka cjui juzi hlf bado ndoto za kunyanyua ndoo 3 mnazo!! Cha muhimu aje Mourinho pale barca abadilishe uchezaji. Msimu huu uefa mtaisikia kwa wengine
Hahahaha yule matheo ni takataka aiseee...ni sub ya ovyo sana pale yangasijawahi kuelewa kwanini Dembele anaanza mbele ya coutunho wakati kiwango chake ni kama Matteo athon wa YANGA
Leo dembele simwelewi kabisa.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
sijawahi kuelewa kwanini Dembele anaanza mbele ya coutunho wakati kiwango chake ni kama Matteo athon wa YANGA