sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 8,678
- 9,374
Winger
Winger
Kweli asee. Right kama tungepata mid wa uhakika, tungefungulia Mvua ya goli za kutosha tu kutoka MSD msimu huu. Lakini kwa sasa naona matumaini hayo yanafifia asee....Rashford =€160m+messi hiv maunyoko ana akili kweli?Riyard mahrez to barca goood but now become bashalona kwa sababu since last season tumekuwa tunasafa sana upande wa holding mid. Tym ingekuwa nzuri kama ingekuwa na mid wa kuwachezesha wakina mess suarez +dembele
Am optimistic kinalia before sa mbili usiku
Absolutely trueTumepewa Messi ila tumenyimwa Rais na Board. Wasipomleta coutinho watang'oka tu.
Mara paap! Coutinho huyu hapa!Am optimistic kinalia before sa mbili usiku
But lolote linaweza kutokea before saa 2. 00 usiku. Aidha kumpata Coutihno au Laa, but ngoja tusubirie.Absolutely true
Tudanganye tu mkuuView attachment 578987
It is happening tunasubiria press conference saa mbili usiku
Nasikia Liver wao kununua mwisho ni leo usiku ila wanaweza kutuuzia hadi kesho usiku. Nafikiri wanachelewesha ili wasipigwe bei huko wanakotafuta replacements. Watu wakijua umeuza na unatafuta mbadala hupandisha sana bei.But lolote linaweza kutokea before saa 2. 00 usiku. Aidha kumpata Coutihno au Laa, but ngoja tusubirie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiwe hasi ngoja tujifarijiTudanganye tu mkuu
Mkuu sipendagi kabsa kuona barca inataabika naipenda kama navyopenda wazazi wangu mkuuMkuu usiwe hasi ngoja tujifariji
Mkuu tuko pamoja, mm naingia humu cha kwanza nikutafta huu uzi. Ngoja tujifarijiMkuu sipendagi kabsa kuona barca inataabika naipenda kama navyopenda wazazi wangu mkuu
Logic...Nasikia Liver wao kununua mwisho ni leo usiku ila wanaweza kutuuzia hadi kesho usiku. Nafikiri wanachelewesha ili wasipigwe bei huko wanakotafuta replacements. Watu wakijua umeuza na unatafuta mbadala hupandisha sana bei.
Nadhani ni saa nne usiku saa za Africa masharikiView attachment 578987
It is happening tunasubiria press conference saa mbili usiku