FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Rashford =€160m+messi hiv maunyoko ana akili kweli?Riyard mahrez to barca goood but now become bashalona kwa sababu since last season tumekuwa tunasafa sana upande wa holding mid. Tym ingekuwa nzuri kama ingekuwa na mid wa kuwachezesha wakina mess suarez +dembele
 
Kweli asee. Right kama tungepata mid wa uhakika, tungefungulia Mvua ya goli za kutosha tu kutoka MSD msimu huu. Lakini kwa sasa naona matumaini hayo yanafifia asee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-31-15-02-04-1.png

It is happening tunasubiria press conference saa mbili usiku
 
But lolote linaweza kutokea before saa 2. 00 usiku. Aidha kumpata Coutihno au Laa, but ngoja tusubirie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Liver wao kununua mwisho ni leo usiku ila wanaweza kutuuzia hadi kesho usiku. Nafikiri wanachelewesha ili wasipigwe bei huko wanakotafuta replacements. Watu wakijua umeuza na unatafuta mbadala hupandisha sana bei.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom