Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Pia anaspidi ya hatari. Pengine kuzidi Alba (na Alba ni mtu mwenye spidi!). Leo macho yangu yote kwake.Wakati nafanya observation ndio moja ya kigezo changu kikubwa hakika amefaulu tena kwa mimi nilivyomuona yuko balanced ana make nabku defend na kurudi kwenye core task (defence) faster ,sifa nyingine ana ball control na possession kubwa sana na bet 80% ata tailor Barca styles kam Umtiti