FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii ndio Juventus iliyotutoa au wamepanga second string?? mbona naona Barcelona kama wana stroll yaani Baca are not even sweating. Coach tuingizie huyo Semedo tumuangalie hawa Juve sio kipimo
 
Hii ndio Juventus iliyotutoa au wamepanga second string?? mbona naona Barcelona kama wana stroll yaani Baca are not even sweating. Coach tuingizie huyo Semedo tumuangalie hawa Juve sio kipimo
Kuna watu wengi hawapo kama dani, Bonnuci, higuain na dybala. Lakini sisi pia tumewapumzisha suarez, busquet, umtiti na alba. Hii ni timu dhaifu siku ile walituotea na mbinu mbovu.
 
mechi mbaya sababu Barca wanacheza kama wako training ground-sometimes your grey matter works
aaah
halaf sema sku zote ulichza na juve lazma unamwaga mbungu sana kwa kuwa juve wao huzuia mara mingi.

ngoja tuta woonya siye kwenye classico
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom