Wameniacha goal lao la kwanza na Celta beki wa Celta kalala chini wako busy wanamganga imepigwa kama adhabu mtu kaenda kapiga goal....hadi goalkeeper alikua anamuangalia jamaa yake aliyedondokaTukianza hizo nyie ndiyo balaa. Juzi verane kashika kwenye box, aspas kala umeme wa ajabu. Huku leo mkipata goli la offside. Hata hivyo hongera mkuu kwa kukataa usindikizaji.
Mkuu mara mbili ktk miaka 10, unaona kama umemaliza kazi? Wezenu tulilizoea hiliMajirani zetu bhana ,mmebaki mnajifariji na chenga za messiiii
Washabiki wa Kingmavi mesi utawajua tuuu kwa kuchongaaaWameniacha goal lao la kwana na Celta beki wa Celta kalala chini wako busy wanamganga imepigwa kama adhabu mtu kaenda kapiga goal....hadi goalkeeper alikua anamuangalia jamaa yake aliyedondoka
Madrid nouma sana aisee kwa kubebwa
We sijui ni msela nondo wa wapi ,ujanja pori wako unauleta humuWashabiki wa Kingmavi mesi utawajua tuuu kwa kuchongaaa
msubilie tena mpaka mwakani.
Washabiki wa Kingmavi mesi utawajua tuuu kwa kuchongaaa
daaaaah hili goli la MESSI la mwisho kapiga chenga kuanzia katikati ya uwanja hadi golini hakika hakuna kama MESSI
Messi huyu mtu hatari sana amepiga chenga wachezaji wa tano na kufunga goal
Majirani zetu bhana ,mmebaki mnajifariji na chenga za messiiii
usipate tabu mkuu hii hapaImenipita mkuu PNC. Imekuwaje tena??? Naskia King kakusanya mkoa kama kawaida yake
usipate tabu mkuu hii hapa
We sijui ni msela nondo wa wapi ,ujanja pori wako unauleta humu
kweli kabisa mkuu huyu ni KING KUWAHI KUTOKEA HAKIKA KIZAZI HIKI TUNA BAHATI SANA KUMSHUHUDIAPoa poa Mkali. Ngoja nimcheki mwanaume kuwahi kutokea.
kweli kabisa mkuu huyu ni KING KUWAHI KUTOKEA HAKIKA KIZAZI HIKI TUNA BAHATI SANA KUMSHUHUDIA
hapana mie namjua CR7.Hi cster? Unamjuwa Leo messi????
Final Golden Boot Ranking 2016-2017hapana mie namjua CR7.