FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi hivi mnajua kua hua anakua na combination na Jordi Alba? yaani inakua hatari balaa wakiicheza
 
Kila siku hua nasema Messi hua "anachonga" mpira na sio kuupiga kama tulivyozoea kwa binadamu wa kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom