Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Sasa huyo mtoto ana nn jmn mbona haishi majanga?Ndiyo imetolewa muda sii mwingi
Sasa huyo mtoto ana nn jmn mbona haishi majanga?Ndiyo imetolewa muda sii mwingi
Kaumia mda gani?Sasa huyo mtoto ana nn jmn mbona haishi majanga?
Week tatu au nne nje.... Dogo ngono nyingiKaumia mda gani?
Siamini hilo suala maana sijaona habari kwenye page za barca nahsi huo ni uongo wa FacebookWeek tatu au nne nje.... Dogo ngono nyingi
Kuna mwana kapost hyo taarifa hapo juu sasa ngoja tusubir kusikia taarifa zaidiSiamini hilo suala maana sijaona habari kwenye page za barca nahsi huo ni uongo wa Facebook
Ni kweli mkuu dogo ameumia nimeona kwenye vyanzo vya kuaminikaKuna mwana kapost hyo taarifa hapo juu sasa ngoja tusubir kusikia taarifa zaidi
Apunguze ngono sasaNi kweli mkuu dogo ameumia nimeona kwenye vyanzo vya kuaminika
Basi hapo li gomes nimejihakikishia numberApunguze ngono sasa
Hahah huyo mwana basi tu yaniBasi hapo li gomes nimejihakikishia number
Duuh mule mule mkuu, vitu hatari sana hvyo usijaribu kugusa
Duuh mule mule mkuu, vitu hatari sana hvyo usijaribu kugusa

Wakati kuna dogo anaitwa Denis ni fundi mnoHahah huyo mwana basi tu yani
Daah!!! Ndiyo ilikuwa injini yetu mpya kwa ajili ya UCL hapo February. Ukisikia Bahati mbaya ndiyo hii sasa. Mungu Amponye haraka iwezekanavyo!!!Hii taarifa n mpya mkuu?
Ktk mechi ya jana na wale MachaliiiKaumia mda gani?
Mpaka mwez wa pili atakua kishapona ila sasa tumuombee majeraha yasiendelee kumuandama tuDaah!!! Ndiyo ilikuwa injini yetu mpya kwa ajili ya UCL hapo February. Ukisikia Bahati mbaya ndiyo hii sasa. Mungu Amponye haraka iwezekanavyo!!!
Ni kweliSiamini hilo suala maana sijaona habari kwenye page za barca nahsi huo ni uongo wa Facebook