Kuna kila dalili mwezi wa 3 tutakabidhiwa laliga letu halafu pia tunacheza match zote bila kufungwa mwaka huu kocha pamoja na mizuka yetu yote ila ni mtu brains sana ana strategies na yuko very flexible hata Dembele akishaelewa vizuri systems atakua anamtumia vizuri sana
Na huku left Jordi Alba na Coutinho anayekuja huyu pale kati ndo usiseme fireeee
Acha wafu wazikane wenyewe na wenye kuangamia na waangamie. Na wale wanaopona walane wenyewe sisi tuendelee kupiga mvinyo. Mkuu mwekundu hiyo ni zekaria ngapi ? 😉🙂. Karibu tuendelee kupiga mvinyo!. Hao jamaa wakipigwa na Valencia(na hawawezi kupona) tutawaacha point 22. Yule Guedes na mwenzake Rodrigo hawawezi kuwaacha.
Hili Goli la mwisho daah..haya tu.Kipa kaamua tu atulize mwili maana hamna namna ya kuzuia vitu kama hivi.Ukisema ujaribu season nzima unamaliza upo kitandani.LIONEL MESSI!!!!Kuna pasi flani ameipiga mpaka nikacheka kwa sauti kubwa saana.Wale Timu flani wakanimind sana...