FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kocha anampenda Jordi Alba hadi anamtengenezea mazingira awe free player left wing
Amemleta beki Lucas Digne ili akabe yeye acheze sana roles za kushambulia kuna kila dalili Griezman ataletwa
Na kazi anayopewa anaifanya vizur sana lakn mana Alba alishaanza kupotea ila huu mfumo unamrudisha
 
Wamezoea!!!!!!. Ila wakuu RB ya Roberto huwa inanifurahisha. Mafullback wengi wamezoea kucheza kama mawinga. Wanakimbia hadi kwenye kona kisha wanapiga cross(kama Marcelo mbovu). Roberto yeye anacheza kama RB/MD hybrid. Badala ya kukimbia pembeni kupiga cross anaingia katikati kama MD na kutengeneza nafasi.japo napenda Semedo apige RB ila Roberto huwa haniangushi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…