FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tulikuwakilisha hadi Padri Mcharo tukamtafutia bwana kaolewa mashaka yetu sijui kama atadumu kwenye ndoa

Kuhusu PAGAN hatujui yuko wapi kwa sababu aliahidi kujinyonga tukimfunga goli 3 bila

Sikujinyonga season tuliyokwenda Trophyless, ntajinyonga kipindi ambacho tumechukua 5 silverware? Don't you know that we have a lot to celebrate? Mi nipo humu JF kila leo. We enjoy the good run bro. You deserve it.
 
Welcome back madidiot!

Next time we meet, we'll send you back to your caves!
 
Sikujinyonga season tuliyokwenda Trophyless, ntajinyonga kipindi ambacho tumechukua 5 silverware? Don't you know that we have a lot to celebrate? Mi nipo humu JF kila leo. We enjoy the good run bro. You deserve it.
Ha ha ha sikukuona bro long time we missed you ,uwe unakuja bana kijiweni kwako hapa bana
 
Watu watatu wameniquote. Haha! Dogo -KANA- acha matusi, we mgeni jukwaa hili, heshima mbele.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…