Unajua hii ni league 1 mwanzo kabisa mwa msimu nadhani kwa kufanya hivyo barca wanaweza kushindwa Leo......lakini real Madrid na numancia natabiri usindi

Narudia kwa mara ya tatu remember the name Jose Anaiz
Ha ha nadhani JF hili jina nitakua mimi ndio wa kwanza nime introduce huyu dogo ni noma kila akicheza lazima avue samaki