Jinsi alivyo drop siku hizi hana hii price ,the value has been inflated kama ni kweli Barca wamuache mapema...!!Atletico have named their price for Griezmann: €200 million 'Griezmann's release clause is €200m' - Atletico warn Barcelona & Man Utd they face pricey transfer fight | Goal.com Goal UK on Twitter
Anadai ni moja ya principles zake ktk maisha...Maestro...huyu jamaa ndio pillar yetu whether we like or not tena nowdays naona kama yuko kwenye peak form sana
Labda haamini kwenye social networks anaona vitampotezea muda
Kabisa Mkuu, Aje Arthur kutoka Gremio, Brazil...Di maria is not a good option for us.
Kwanza umri umeenda sana, so we cant have him playing at his best for a couple of years to come!
Pili, hatoweza kucheza UEFA this season. Keep it in your mind that, UEFA is our main target. Laliga tunashinda sana mpaka tumeizoea!
We need someone who can play in the champions league akaongeze makali ya flanks zetu.
WE NEED TO WIN THE CHAMPIONS LEAGUE!
Yeah si tumeweka realease clause ndogo ya 60 M kwa key player kama huyo tunachekeshaDuuuuuhhhh!!!!!!!!!!!!! Man City wanataka kulipa release clause ya Umtiti-jiji la Barcelona limepigwa butwaa
Hatuwezi ku re-negotiate nae na kuweka release clause kubwa zaidi ? Pep nae anataka kubomoa nyumbani !!Duuuuuhhhh!!!!!!!!!!!!! Man City wanataka kulipa release clause ya Umtiti-jiji la Barcelona limepigwa butwaa
Number ya suarez haina ushindani wala hatuna substitute wa Suarez in reality huyo muandishi kapamba gazeti tuTetesi
SPURS YAMTENGEA DAU NONO SUAREZ
Tottenham wanaandaa dau nono kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, kwa mujibu wa Don Balon .
Spurs wanaamini Barcelona watakuwa tayari kumuuza Suarez kwani wanalenga kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, na miamba hao wa London wameshaanza mazungumzona wawakilishi wa mchezaji huyo.
Lakini mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool anasita kuondoka Camp Nou licha ya kuongezeka ushindani wa namba.
Lkn hope hawezi ondokaDuuuuuhhhh!!!!!!!!!!!!! Man City wanataka kulipa release clause ya Umtiti-jiji la Barcelona limepigwa butwaa
Ila wamesema wanampango wa ku-update mkataba wake ili waiongeze na release clause.Duuuuuhhhh!!!!!!!!!!!!! Man City wanataka kulipa release clause ya Umtiti-jiji la Barcelona limepigwa butwaa
Suarez ni striker pekee Europe anayepata chance nyingi due to his positioning ability-hii goal drought yake imekwisha watch him go-hata match ya RM ange convert chances zote-ingekuwa landslide-Velverde aliona hii mapema ndio maana hata mpira ulipokataa alikuwa anampanga-he cannot be sold labda kama fc barca wanataka riotNumber ya suarez haina ushindani wala hatuna substitute wa Suarez in reality huyo muandishi kapamba gazeti tu
Hata wakati Suarex yuko kwenye low form hauwezi ukamfananisha na Paco Alcacer
Sanchez!!!!!!!! Are you serious?????Tumrudishe Sanchez apige wingi ya kushoto atatusaidia mno katika UEFA uku mwishoni mwa msimu huu tukitafuta mchezaji mwenye umri mdogo ataedumu mda mrefu katika nafasi iyo ila naamini tukimuamini Jose Arnaiz anaweza fanya mambo makubwa.
Ndio ha ha ha ha ROBERTO 20 nimekustukia EPL unapenda AsernalSanchez!!!!!!!! Are you serious?????
Binafisi sijasikia hiyo ila Klop kama kawaida, kakanusha kwamba Liverpool haina mpango wa kumuuza Coutihno. Source: All Football App.Wazee kama mlinistukia nilikua nakwepa ku post habari za Coutinho kwa sababu failure ya ujio wake Barca niliwahi kuabika ila hii kali niliyoipata inanilazimu kui post
Eti ni kweli anatafutiwa nyumba jijini Barcelona ili atue mwezi January?
Bora ajeWazee kama mlinistukia nilikua nakwepa ku post habari za Coutinho kwa sababu failure ya ujio wake Barca niliwahi kuabika ila hii kali niliyoipata inanilazimu kui post
Eti ni kweli anatafutiwa nyumba jijini Barcelona ili atue mwezi January?