Naipenda sana Barca, bora afungwe na timu yeyote ila lkn sio Madrid. Tatizo huyu kocha anaogopa game kubwa kama hizi, akiingia tu anaaza kuzuia badala ya kushambulia.
Ukishambulia unamchangnya mpizani wako na unamsababishia kufanya makosa.
Siko happy na huyu kocha