Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
hadi sasa naona mambo bado, huyu CR7 nina uhakika SAF anajuuuta kumuuza
Ngoja Messi afunge, SAF waga anaona alifanya uamuzi wa busara ila tu anatamani alipomuuza CR angemnunua Messi...lol
hadi sasa naona mambo bado, huyu CR7 nina uhakika SAF anajuuuta kumuuza
At least leo hatazomewa... Ngoja tusubiri tuone.hadi sasa naona mambo bado, huyu CR7 nina uhakika SAF anajuuuta kumuuza
Puyol, goli limerudi Barca 1 Madrid 1
Go Barca..go Barca!! siwafeel Madrid hata chembe