sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 8,678
- 9,374
Hujui chochote katika hii tasniaMkuu huu mchezo auhitaji hasira, season imeamia tuonane on the pitch
Hujui chochote katika hii tasniaMkuu huu mchezo auhitaji hasira, season imeamia tuonane on the pitch
Hujui chochote katika hii tasnia
Kifupi ni wapuuzi kupita hawa jamaa, Mimi nimeamua hadi kuifuta App yao ya "Barcelona Live". Kila siku tetesi, nafikiri wana mpango wa kuiua na kuiteketeza timu pamoja na Academy ya Lamasia.Hivi bodi ya barca nahis inaendeshwa na waafrika waliojichubua kwani haiwezekani mda wote wa usajili kupoteza mda kwa coutinho na Dembele.Hv wakina hazard william, Underherela hawapo hv hawa jamaaa wanaakili? sasa kila siku mchezaji mmoja tuuu.
Hata "Papy Kabamba Tshishimbi" hawajamuona????! (Joke kidogo)Kifupi ni wapuuzi kupita hawa jamaa, Mimi nimeamua hadi kuifuta App yao ya "Barcelona Live". Kila siku tetesi, nafikiri wana mpango wa kuiua na kuiteketeza timu pamoja na Academy ya Lamasia.
Haingii akilini, Dembele, Jean Michael Seri na timu zao zimeshakubali kuwaachia, lakini uongozi wa Barca kutwa nzima wanajizungusha tu yaani hawataki kutoa pesa ili kukamilisha usajili huo.
Hapo hapo unakuta wana ng'ang'ana Mara cjui Coutihno Mara Angle Dimaria wakati timu zao zimeshasema hawaondoki hawa, mfano kama Coutihno ni wazi kuwa hawezi ondoka kwa 7bu ktk mkataba wake kuna kipengele hakimruhusu kwenda popote msimu huu.
Yaani hapa, Messi akisepa kwenda Man City ntafurahi sana kwani itakuwa fundisho kwa uongozi. Uongozi gani huo hauna future na team na maendeleo endelevu ya sasa?
Kuna wachezaji wazuri sana vilabu vyao vilikuwa vimeshakubali wajiunge na Barca, mfano ni Jean Michael Seri na Martinez lakini cha kushangaza wameachwa na badala yake eti wakamsajili mzee, Paulihno miaka 29 wakazi gani huyo ameshazeeka tayari.
Nasikitika sana kwanini timu inakufa hivi hivi tena kwa klabu kubwa na tajiri kama Barcelona wakati wachezaji wazuri wamejaa kote duniani.
Aibu ya mwaka hii....
Sent using Jamii Forums mobile app
Done deal hatutaka usajiri asimamie mwekundu kesho naenda kukamilisha na Coutinho
Sio rumors ni Done dealAnother romour?
- KANA -
Binafisi kuamini, mpaka iwe official maana Barca akili zao wanazijuwa wenywe...