IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,738
- 7,085
Neymaar anacheza leo
hapana mkuu hacheziNeymaar anacheza leo
mmefanya figisu hadi Neymar hatacheza. kwetu siyo kesi, jpili tunaweza kuwawekea Paco na kuwapiga 3-0.
kama kuna timu inaongoza kwa watoto wazur na wanaojielewa ambao sio mabashite humu JF ni FC BARCELONAJamani iache barca yangu
asee huyo atahamishwa hiyo timu, skujua kama mli muhadaa akaja kwenukama kuna timu inaongoza kwa watoto wazur na wanaojielewa ambao sio mabashite humu JF ni FC BARCELONA
TUNAJIVUNIA UWEPO WENU

asee huyo atahamishwa hiyo timu, skujua kama mli muhadaa akaja kwenu![]()
huyo kapenda ladha sio butubutuhahaha, hamna itabid ahamie tim ya familia asee, kipindi skuwepi namsamehe![]()
![]()
![]()
huyo kapenda ladha sio butubutu
si kama Shakira.kama kuna timu inaongoza kwa watoto wazur na wanaojielewa ambao sio mabashite humu JF ni FC BARCELONA
TUNAJIVUNIA UWEPO WENU
mshabiki andazi upo?🙂🙂 unajua Messi ndiyo anaongoza kwa magoli kwenye el Clasico. hakuna mchezaji wa Madrid hajawahi dhalilishwa na Messi. hadi Cr7. Marcelo tayari amepatwa na sonona. wanasema imesababishwa na pre-traumatic stress disorder.hahaha, hamna itabid ahamie tim ya familia asee, kipindi skuwepi namsamehe
sema mlijikusanyia warembo humu safi sana
mshabiki andazi upo?🙂🙂 unajua Messi ndiyo anaongoza kwa magoli kwenye el Clasico. hakuna mchezaji wa Madrid hajawahi dhalilishwa na Messi. hadi Cr7. Marcelo tayari amepatwa na sonona. wanasema imesababishwa na pre-traumatic stress disorder.
kuna watu kama Raul wamecheza mechi nyingi kuliko king lakini kawazidi magoli. ana rekodi pia ya assists 13.![]()
![]()
![]()
![]()
yaan Barca hii ni ya kunitisha mim!!?
Messi anaongoza nakubali, toka akiwa teenager ana chezaga el classiko kwann asiongoze ninge mshangaa
Raul ana 15 si haba mkuukuna watu kama Raul wamecheza mechi nyingi kuliko king lakini kawazidi magoli. ana rekodi pia ya assists 13.
wamefanya ila tumetolewa njeKesi yoyote ikipelekwa CAS basi ile hukumu inakuwa suspended hadi appeal isikilizwe upya nahisi neymaar anacheza leo kama kweli barca wamefanya second appeal