FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Watakiwa ukutane kwanza na yule dogo akuonyeshe mpira jinsi unavyochezwa then akupe appointment ya kuonana na teacher mwenyewe, Umtiti yeye ni mkabaji tu hatokusaidia chochote! Labda Mascherano kidogo...
Wachezaji ntakao kuja kuwaona barcelona
Digne
Dennis suarez
Gomez
Umtiti
 
Hahahaaa
Hamna sema kwa kuwa huwa nakuja hapa kwa ndugu zangu niwape hi , ndio utakuta nakumbuka, ila most of time yang Messi is irrelevant.

Na kikubwa kinachokuleta ni Messi pia, yaani we mpende tu maana ndio hivyo tena.
Karibu nyumbani.
 
Wachezaji ntakao kuja kuwaona barcelona
Digne
Dennis suarez
Gomez
Umtiti

Binafsi sijaona bado mchezaji yeyote yule aliyekamilika kisoka,na mwenye busara,asiependa ugomvi kama Messi.
  • Hana majivuno
  • haringi,
  • sio muongeaji
  • hauzi sura,
  • sio mbinafsi,
  • Si mtu wa misifa
  • wadogo na wakubwa anawapa heshima yao
sasa wewe inakuaje-kuaje umchukie kiasi hicho??
 
Mbona una muongelea kama vike mnaishi mtaa mmoja

Uo ni uongo sasa
 
Today in 2000, Leo Messi’s first Barça contract was signed on a napkin at a Barcelona restaurant. He was only 12.
The rest is history..
 
SIFA 8 ZA MASHABIKI WA RONALDO

1. Wengi wao ni manyumbu kutoka manure united (man 4ngo).

2. Hawajawahi kucheza hata mpira wa makaratasi (sodo)...yani kutuliza mpira hata kupiga danadana moja hawawezi.

3. Wengi wao ushabiki wa mpira wameanzia ukubwani.... ndo mana hawana facts always wao kuropoka tu

4. Wengi wao wametokea kijijini.... mjini wameingia juzi juzi tu wakati rashford kashaanza kucheza pale man4ngo.

5. Kikabila wengi wao ni wasukuma kama sio wahaya.

6. Wengi wao wanaishi kwa waume wa dada zao (shemeji zao) na kama sio basi ujue ni mvulana anaeishi kwa babake na mamake.

7. Wengi wao ni wanyoa viduku, wapiga milege, wala ngada, team wema sepetu, timu bongo movies n.k.... ivo yan uvulana uvulana mwingiiiiiii

8. Wengi wao ni vishabiki vya ccm ambavyo kazi yao ni kupiga domo tu kwenye vijiwe vya kahawa kumtetea ronaldo.9

9. ..................................................

Ongeza ya kwako niliyoisahau hapo
 
Man U itakuua dogo......
 
japo ni habari ya zamani.
Barça need a right-back.

After months of being on the ledge regarding the club's need to find a right-back, it looks like the board and coach are finally in agreement.

Despite Sergi Roberto's scintillating rise into Luis Enrique's starting XI, the Spanish international has failed to make a significant impact week-in week-out in his new role due to being the solitary option in a demanding role, forcing the coach to deviate from the standard formation and tactics in order to rest his only right-back.

After the failed signing of Aleix Vidal, it seems like the club are looking at Chelsea's Victor Moses who, much like Sergi Roberto, has clawed his way into the starting XI under Antonio Conte.

According to Sport the 25 year old Nigerian could be headed to Catalonia in a surprise move. Former Juventus coach Conte has used the powerful box-to-box player as a right-sided wingback in a five-man defense. The forgotten Chelsea man has used his engine and dribbling to good effect, having already racked up 2 goals and 1 assist in 11 appearances.

Despite being new to the role, Victor Moses has become a mainstay for the English side and has looked strong on the flanks.

However, the move seems improbable in January in light of Moses' importance to his new manager, and signing another part-timer might be something that Barça could do without.
 
SIFA 8 ZA MASHABIKI WA RONALDO

1. Wengi wao ni manyumbu kutoka manure united (man 4ngo).

2. Hawajawahi kucheza hata mpira wa makaratasi (sodo)...yani kutuliza mpira hata kupiga danadana moja hawawezi.

3. Wengi wao ushabiki wa mpira wameanzia ukubwani.... ndo mana hawana facts always wao kuropoka tu

4. Wengi wao wametokea kijijini.... mjini wameingia juzi juzi tu wakati rashford kashaanza kucheza pale man4ngo.

5. Kikabila wengi wao ni wasukuma kama sio wahaya.

6. Wengi wao wanaishi kwa waume wa dada zao (shemeji zao) na kama sio basi ujue ni mvulana anaeishi kwa babake na mamake.

7. Wengi wao ni wanyoa viduku, wapiga milege, wala ngada, team wema sepetu, timu bongo movies n.k.... ivo yan uvulana uvulana mwingiiiiiii

8. Wengi wao ni vishabiki vya ccm ambavyo kazi yao ni kupiga domo tu kwenye vijiwe vya kahawa kumtetea ronaldo.9

9. ..................................................

Ongeza ya kwako niliyoisahau hapo
Wanampenda sana Messi na mara nyingi humuota.
 
"Messi alipokutana na shabiki wake mtoto kutoka Afghanstan Murtaza Ahmadi. Mtoto huyo alipata umaarufu mtandaoni baada ya kuonekana akiwa amevaa mfuko wa plastiki wa mistari na kuandika jina la Messi"

Screenshot_2016-12-15-22-45-51-1.png

Iceman njoo huku kwa Murtaza Ahmadi akupe maujuzi kidogo.....

Similar Discussions

Back
Top Bottom