Daaah ninawaswas na mdifilda zetu haziko vizuri kabsa why arda turan out mtu denis suarez in? Nina waswasna huyu kocha maanake usajili wake daaah haujaleta tija kwa barca
Sevilla FC vs BarcelonaLeo lazima uukalie, mechi ngumu kwako hii.
Goal!! Lionel MessiKocha ni Madridista huyu kwani we hujui aliwahi kuwa mchezaji wa Real Madrid. Anafanya makusudi tu Barca ifungwe
cha ajabu MESSI anamuumbua kocha ![]()
![]()
![]()
cha ajabu MESSI anamuumbua kocha
HAPO VIP?
Mi naenda kulala bhana kesho niwahi box. Ntacheki matokeo kesho asubuhi lakini nilivyoona hii first half hii game lazima muache points hapa.
basi sawaHongereni ilikuwa game ngumu sana kwenu ila mlipigana kiume.FULL TIME
BARCELONA 2 SEVILA 1
MESSI&SUAREZ
Hongereni ilikuwa game ngumu sana kwenu ila mlipigana kiume.
asante mkuu ila hakuna mkate mgumu mbele ya chai