Pep Leo atataja herufi iliokua ikimshinda messi kutamka utotonimessssssssssiiii
pambafuuuMatheu beki wetu tumpendayeHuyu Mathew anatakiwa avunjike kabisa. Hakuna mchezaji ananikera kama huyu jamaa. Ni mkumbafu sana.
yaani kwenye usajili Umtiti tumepata jembe. ametulia sana. Gomes naye si haba.Ila kwakweli umtiti anafanya kazi huyu mwanaume
4-0 Neymar amesawazisha makosa ya penalt