Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Cilessin kawa wazawadia watu ma wili hukoduuh,football is so funny- Bravo anawazawadia goal M United na he seems edgy AU hana confidence na defenders wake??
NAONA THREAD MDA SI MREFU ITAANZA KUVAMIWA NAFIKIR MATOKEO YABADILIKE FASTA
Mkuu hujamaliza dakikaDAKIKA YA 20
BARCELONA 0 ALAVES 0
KUKU WAKO MANATI YA NINI
kwani Messi beki? mlaumu kwa kutofunga na lile goli walaumu Matthieu na Macherano.Mkuu hujamaliza dakika
90!!!
Timu hata si ijui imewapiga
kwani Messi beki? mlaumu kwa kutofunga na lile goli walaumu Matthieu na Macherano.
kikosi kilikuwa vibaya leo. hata wewe utakuwa uliona. ile id yako ngumu kutamka imepatwa na nini?![]()
![]()
Namlaumu alishindwa kurudisha
Unapretend kunijua ee!!? Nna Id moja ndio hiikikosi kilikuwa vibaya leo. hata wewe utakuwa uliona. ile id yako ngumu kutamka imepatwa na nini?
Vipi ndugu? Ndio mpira huo jikaze tuLEO BARCELONA TUTAMTUNGUA ALAVES ZAID YA 5
B
A
R
C
E
L
O
N
A
WANATISHAAA
shukrani kwa kumtambuakikosi kilikuwa vibaya leo. hata wewe utakuwa uliona. ile id yako ngumu kutamka imepatwa na nini?
Barca bado hajaanza league,jikokoteni wakati simba akiwa kalala punde akiamka itakuwa hatari-hii mechi tulikuwa tuna experiment mambo Fulani-yakishatengemaa Barca tunategemea ata revolutionise SOCCER to level never before seen on mother earthCilessin kawa wazawadia watu ma wili huko
mdomo huponza kichwa, kelele zako hazijabadilika.Unapretend kunijua ee!!? Nna Id moja ndio hii
![]()
![]()
![]()
Mmefungwa na watoto walopanda daraja
shukrani kwa kumtambua
***** ina maana benchi zima la ufundi ndio lilipanga kikos kile kianze mamaeezao