Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Barcelona 1 sevilla 0
Tutaongeza jingine.Linarudi now
Balozi usiwakatae raia zakoHiii shidaa sasaaa
Hatuwezi kuminya kwa kitimu cha ovyo kama hiki ki sevilla kinachotembelea nyota ya makosa ya refa


just in case mkuu. hawa jamaa wametusumbua huu msimu.Hatuwezi kuminya kwa kitimu cha ovyo kama hiki ki sevilla kinachotembelea nyota ya makosa ya refa