FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

>>Barcelona sasa imekusanya jumla ya point 75 kati ya michezo 29 iliyocheza ktk La Liga.

-bado michezo 9 ligi iishe kwa msimu huu wa 2015/16
 
RECORD BREAKDOWN:-
>>Barcelona leo imevunja rekodi ya klabu ya Ac Milan ya mwaka 1991/92 iliyocheza michezo 36 pasipo kufungwa.

-sasa Barcelona imetimiza michezo 37 pasipo kufungwa.

-bado mechi 3 icheze bila kufungwa ili kuifikia rekodi ya Nottingham Forest iliyocheza mechi 40 bila kufungwa.

-na hatimaye rekodi ya Juventus ya 2011/12 iliyocheza mechi 43 mfululizo pasipo kufungwa.
 
It's better to offer a free kick not a penalty. .......

271b928911178caea81fc87f02cbb974.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Penalty imekua tatizo sana kwa barca ni lakuangaliwa tena hili
 
  • Thanks
Reactions: PNC
fc-barcelona-squad-2015-16-football-team.jpg

hi-res-21dd3296cfc64a4a2eb01abb4f691116_crop_north.jpg

Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.​

Kuanzishwa: November 29 1899​

Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.

Mashabiki
: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.​

Makombe: Washindi wa La liga mara 23 nyuma ya Madrid (32).​

Washindi wa Copa del Rey mara 27 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.​

​

Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.​

​

Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).​

​

Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.

El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.​
Hapa sasa thread imekuwa tamu SIO MIPICHA YA ZAMANI
 
Good thread kamanda umejitahidi mno! God bless u
 
nchini ECUADOR LIGI KUU yao inaendelea ambapo kwa mara ya kwanza katika zaid ya ulongo mmoja endapo BARCELONA itaibuka na ushindi itaongoza ligi
MPIRA DK 52 NA BARCELONA inaongoza 1:0 usishangae barca iko kila mahala hata mtaani kwetu ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom