BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Daa neymar angefunga ingekuwa poa sana
hahaha mkuu neimar m-binafsi sana hatoi pasi kwa wenzake, analazimisha kuchenga wakati hawezi....
Daa neymar angefunga ingekuwa poa sana
sio wivu,si unaona kama heavyweight boxing ilivyochoka hata kuangalia ni shida kukiwa na competition ndio powaHuu wivu sasa mkuu
tarehe 31 na Betis.Barca anacheza lini tena?
My kaka pole sana nenda kwenye uzi huu katoe Maoni yako nini hupendi na nini kifanyike.JAMII FORUM HII STYLE MLIOTOA HAIKO POA BORA RUDISHENI YA ZAMANI TULIO IZOWEYA