nimecheki dakika za mwisho. inaniuma sana tunavyopigwa pigwa goli za majeruhi.Daaaaaaah aiseeee Mpira Full Time wanga kaz ni kwenu
mechi tatu mfululizo tumedraw.
Mamaeee
Nani Depotivo?
Kocha wetu
Happy birthday my lovely team AC Milan...sisi ni mabingwa wa milele