FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bado kuanzia kesho ndio anatarajia kuja Cataluna kwa medical test na process nyingine zilizobaki.

Muhimu tumeshamchukua.

Sipati picha comb ya Rodri na Pedri.
Dili la Rodri nalipa 20% sitaki kujipa matarajio makubwa
 
Wale maboya wanaringa sana waachane nae tutamchukua bure mwakani...sioni kabisa uwezekano wa wao kumuacha.
Daah wanakaza kinyama.

Walisema wakipata replacement yake wanamuachia.

Mazungumzo chini ya kapeti yanaendelea.
 
Baada ya deal la Rodri na Cancelo kukamilika sasa tunaamia kwa Alvarez na Luis Suarez.

Mmoja wapo lazima tumchukue kabla hatujafunga usajili.
Suarez si atakuwa umri umeenda sana Mkuu? Maana yule ni mkubwa rika la Messi lile.
 
Hapo changamoto ni namba 9 tu Mkuu. Ila upande wa wings naona bado kutabaki pa moto.
Yeah 9 changamoto.

Ndio maana tunafosi tumpate Alvarez au Suarez.

Naona pia Flick ameanza kumtumia Yamal kama false 9 tusishangae kulia akisimama Adeyemi na kushoto Gordon.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…