Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,682
Jude alitoka majeruhi Tena hii ni mechi sijui ya 4 vile.Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.
Mfano Mbappe yeye akifunga halafu kukawa na uzembe wa mabeki ambao wanaigharimu timu kupoteza mchezo, sisi tutaangalia jukumu la mshambuliaji kwenye kufunga lilitimia.
Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.
Halafu unamuwekea excuse ya injury Lamine as if angecheza hizo mechi 4 angemfikia Mbappe. Haya nikisema kwenye hizo mechi nne umpe goli 4 atakuwa level sawa na Mbappe?
Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?
Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
Afu kaka,Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.
Mfano Mbappe yeye akifunga halafu kukawa na uzembe wa mabeki ambao wanaigharimu timu kupoteza mchezo, sisi tutaangalia jukumu la mshambuliaji kwenye kufunga lilitimia.
Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.
Halafu unamuwekea excuse ya injury Lamine as if angecheza hizo mechi 4 angemfikia Mbappe. Haya nikisema kwenye hizo mechi nne umpe goli 4 atakuwa level sawa na Mbappe?
Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?
Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
Sasa mbappe ana individual skills gani za kumzidi Yamal?Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.
Kwahiyo uwezo wa mchezaji unaupima kwa kufunga magoli tu sio factor nyingine yoyote?Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.
Kwani magoli peke yake ndio kigezo cha uchezaji bora?Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?
Kama uchezaji bora unaamuliwa kwa kufunga pekee kati ya Harry Kane mwenye goli 12 na kacheza mechi 8 na mbappe mwenye goli 11 kacheza mechi 10 nani bora kwa mtazamo wako?Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
Eti kutubeba.Refa alijitahidi kuwabeba lkn wapi
Inategemea na skills kwako ni kitu gani. Kama ni makeke ya kuuchezea mpira ni kweli Lamine ni bora kwa Mbappe.Sasa mbappe ana individual skills gani za kumzidi Yamal?
Kwahiyo uwezo wa mchezaji unaupima kwa kufunga magoli tu sio factor nyingine yoyote?
Kwanini Yamal alimaliza nafasi ya pili kwenye Ballon d'or wakati mbappe hata tano bora akuingia?
Waliompa Yamal nafasi ya pili walimpendelea au?
Kwani magoli peke yake ndio kigezo cha uchezaji bora?
Dembele anayeshika nafasi ya kwanza Ballon dor 2025 ana magoli mangapi na Mbappe aliyemaliza nafasi ya tisa ana magoli mangapi?
Kama uchezaji bora unaamuliwa kwa kufunga pekee kati ya Harry Kane mwenye goli 12 na kacheza mechi 8 na mbappe mwenye goli 11 kacheza mechi 10 nani bora kwa mtazamo wako?
Usijifanye hujui maana ya football skills.Inategemea na skills kwako ni kitu gani. Kama ni makeke ya kuuchezea mpira ni kweli Lamine ni bora kwa Mbappe.
Dribbles ndio zilizompa nafasi ya kuwania Balon D'or?Usijifanye hujui maana ya football skills.
Hata makeke ya kuuchezea mpira ni skills.
Uwezo wa ku Dribble ni skills.
Kufunga ni skills.
Dogo hivyo vyote anavyo.
Tena msimu ulioisha kafunga magoli magumu mazuri na ya kiufundi sana compared to Mbappe
Au unabisha dogo hajafunga?
Mbappe kitu pekee alichompita yamal ni uwezo wa kufunga tu na kukimbia mabio kama kuku alokatwa kichwa vingine kaachwa mbali sana.
Licha ya migoli yake mbappe kamaliza nafasi ya 9 lakini dogo kamaliza nafasi ya pili akiwa na magoli machache kuliko mbappe
Unafikiri waliompa nafasi ya pili ni wajinga?
Naona umedandia point ya dribbles.Dribbles ndio zilizompa nafasi ya kuwania Balon D'or?
Then, why Dembele abebe tuzo wakati stats zake kwenye dribbling ni ndogo kuliko Lamine?
Ukiwa mshambuliaji role yako ya kwanza ni kufunga ya pili ni ku assist hizo Dribbles ni ziada tu.
Yani ni sawa na role ya goli kipa, jukumu lake mama ni kudaka. Hayo maswala ya passing ability, ball control, shooting ability nk yanakuja baadaye huko.
Hayo maswala ya kusema aliuchezea mpira yanakuwa yana make sense kama yataenda kuleta impact kwenye matokeo ya mwisho. Je bada ya hizo dribbles ulifunga? Je uli assist?
Lakini kama tutabaini ulikuwa na dribbles nyingi ambazo hazikuzaa goli au assist, hizo dribbles zako zinakuwa pointless.
Mimi sijaku accuse kuwa umesema hivyo, ila nimekuuliza ikiwa kama unahisi hivyo.Naona umedandia point ya dribbles.
Kuna sehemu nimesema kudribble ndo kumempa Yamal nafasi ya pili?_
Tupo mzee.Wazee humu kumepoa sana
leo mmevamia mtumbwi wa vibwengo waulizeni PSGWakatalunya wenzangu tuna kipengele kizito leo.
Mnaionaje game?
Tutatoboa?
Ina sikitisha sana, Mpaka sasa mme tobolewa vibaya mno.Wakatalunya wenzangu tuna kipengele kizito leo.
Mnaionaje game?
Tutatoboa?