FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jezi nzuri inagombaniwa kila mmoja anaitaka

Jipatie yako haraka kabla hazijaisha
 
Naona leo mnashangilia kweli.

Kama mmechukua UCL kumbe umemfunga Barca.

Bado kidogo mpopp champagne 🍾
Tatizo lenu ni mdomo

Tena kile kitoto chenu na wasiwasi na uraia wake kitakuwa kipemba bila shaka.

Maana sio rahisi watu wa Ulaya kuongea mipasho.
 
Tatizo lenu ni mdomo

Tena kile kitoto chenu na wasiwasi na uraia wake kitakuwa kipemba bila shaka.

Maana sio rahisi watu wa Ulaya kuongea mipasho.
Mbona hata nyie mdomo mnao.

Au umesahau UCL msimu ulioisha maneno yenu kabla ya mechi ya second leg na Arsenal?

Tena sio maneno tu mna watu wana viburi na jeuri kina Vin.
 
Mbona hata nyie mdomo mnao.

Au umesahau UCL msimu ulioisha maneno yenu kabla ya mechi ya second leg na Arsenal?

Tena sio maneno tu mna watu wana viburi na jeuri kina Vin.
Vin ni mtu wa kupanic haraka

Umeona kama hapa, Vin anakaambia kadogo kapunguze u-mouth dogo anakuwa mbishi eti anataka apigane

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani kuna mchezaji ambaye kila mechi anafanya vizuri? Mtaje kama yupo.

Halafu dogo katoka majeruhi ya mfululizo usisahau hilo.
Consistency

Mbappe na Lamine nani mwenye mwendelezo mzuri walau katika kila mechi mbili?
 
Consistency

Mbappe na Lamine nani mwenye mwendelezo mzuri walau katika kila mechi mbili?
Kwani mbappe katoka majeruhi kama Yamal?

Yamal msimu ulioisha kaisaidia Barca kukukusanya makombe yote ya Spain huyo mbappe wako kawasaidia nini?

Na huu msimu bado kabisa haujaisha kaa kwa kutulia uinjoi shoo.

Chuki zako kwa dogo hazitokupeleka kokote.
 
Tunazungumzia individual skills usilete stori za kaisaidia timu.

Mfano Mbappe yeye akifunga halafu kukawa na uzembe wa mabeki ambao wanaigharimu timu kupoteza mchezo, sisi tutaangalia jukumu la mshambuliaji kwenye kufunga lilitimia.

Ndio maana unaweza kuona licha ya timu kukosa ubingwa lakini kiatu cha dhahabu cha ufungaji bora kimeenda kwa mchezaji wa timu iliyoshika nafasi ya 5.

Halafu unamuwekea excuse ya injury Lamine as if angecheza hizo mechi 4 angemfikia Mbappe. Haya nikisema kwenye hizo mechi nne umpe goli 4 atakuwa level sawa na Mbappe?

Je msimu ulioisha alikuwa na magoli mangapi?

Mbappe ni mechi ya juzi dhidi ya Juve ndio hakufunga, zingine zote alizocheza ameingia kambani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…