FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Cules.

Leo tuna Derby na espanyol.

Tukishinda tunatangaza ubingwa.
 
Watoto wa miaka 17 ndio wakabebe uefa?? Unajua imemchukua Drogba King miaka mingapi kulibeba? Kamuulize Salah, kamuulize De Bruyne, munaleta utani kwenye vitu vya msingi matakataka ninyi hamuyiogopi Chelsea????
 
Bangi zako leo umevutia chooni eeh?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…