FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kabisaaa huwezi kuwaacha wachezaji wapambanaji eti kisa una copa delay. Ligi kuu ni muhimu sana.
 
Gerard Martin hapaswi kuanza first 11 manaake dogo anazingua sana Kwanza flick kwann asimchezeshe Araujo au hata Erick Garcia au fort pale nyuma lakin sio Martin kwa kweli...Balde apone aisee arudi kwenye nafasi yake
 
Yeah.

Hata mechi na Dortmund second leg aliichukulia poa kwa kuwa tuna faida ya goli 4 za nyumbani.

Meisho wa siku guirassy kaondoka na mpira.

Leo bado kidogo watoto watukalie kooni.

Thanks for Dani Olmo.

Que regreso Que remontanda.
Kabisa.
Kabisaaa huwezi kuwaacha wachezaji wapambanaji eti kisa una copa delay. Ligi kuu ni muhimu sana.
Leage angalau ina match nyingi zimebaki lkn hiyo final nadhani ni match moja au mbili. Pia ni hivyo hivyo kwa semi final.
 
Kabisa.

Leave angalau ina match nyingi zimebaki lkn hiyo final nadhani ni match moja au mbili. Pia ni hivyo hivyo kwa semi final.
Ligi bado mechi sita tuitamatishe.

Tukishinda mechi tano tu tayari tushatangaza ubingwa hapo madrid ikiwa atashinda mechi zake zote saba zilizobaki.

Kwa madrid hii ya unga unga mwana siioni ikifanya hivyo na ukizingatia wana mechi na sisi(el clasico)miongoni wa hizo mechi saba.

Leo tu na Athletic club wajipange wanaweza kudondosha point wakazidi kuturahisishia safari ya ubingwa.
 
Nadhani imefika muda mashabiki tumeanza kua na unrealistic expectations. Tunategemea kushinda kila mechi, as if team nyingine hazina watu wenye akili.

We have a very thin squad with no proper substitutions, na hao wachezaji wazuri wanaoanza kila siku tayari wamekumbwa na fatigue. Joules Kounde amecheza mechi zote msimu huu za club na team ya taifa kwa dakika tisini. Pedri amepumzika mechi sio zaidi ya mbili, same to Yamal. Dani Olmo ni very injury prone, na ametoka kuuguza majeraha juzi tu. Kutegemea hawa watu waendelee kucheza kila siku, na kwa ubora uleule ni kuwaonea.


SIo rahisi kupambania treble kwa hiki kikosi finyu tulichonacho. Hapa tunaenda kucheza mechi 5 mfululizo ndani ya siku 15. Ndani ya hizo mechi tano, kuna Inter mara mbili, na Madrid mara mbili. Kufanya rotation hakuepukiki.


Mimi kwa sasa sidhani kama tutashinda treble. Tukishinda Laliga na Copa del Rey, kwangu itakua mafanikio tosha. Hii team imetoka mbali. Transfer market ikifunguliwa, tuongeze wachezaji, tuwe na kikosi kipana, ndio tupambanie treble!
 
Lewa anaweza kuwa nje kwa wiki 2 mpaka 3.

Ikiwa hivyo atakosa fainali ya Copa del Rey na Madrid tarehe 26 na first na second leg na Inter.
Hapa inter kashapita hamna kitu kama lewa balde wote wako nje Kwa uchezaji niliouona mechi mbili za mwisho uenda inter na arsenal zikacheza fainali
 
Hapa inter kashapita hamna kitu kama lewa balde wote wako nje Kwa uchezaji niliouona mechi mbili za mwisho uenda inter na arsenal zikacheza fainali
Kama conclusion yako umeifikia kwa hizo mechi mbili za mwisho ya Dortmund na Celta vigo basi haupo sahihi.
 
Umeongea point

Kwenye usajili kama kawaida tutalud La masia
 
Sipo sahihi kivipi nielezee
Game ya kwanza ni bad selection ya kikosi na kuingia as if we have already qualified for the semi final.

Tuliwa under rate Dortmund na mwisho wa siku wakatuadhibu kwa goli 3-1.

Tushukuru first leg tulipata goli 4 ndio zilizotubeba.

Unamuanzishaje Gavi mbele ya pedri fermin Lopez dhidi ya Olmo Araujo dhidi ya Inigo?

A very bad selection ndicho kilichotukosti.

Akaja akarudia tena game na celta vigo Olmo na Yamal akawaacha nje akaendeleza mchezo wake wa kubeti na kina Fermin Lopez.

Pia lazima utambue approach za michezo na seriousness zinatofautiana from game to game.

Huwezi kuingia semi final kucheza na Inter ukatumia approach sawa na Celta vigo.

Ni timu mbili na mashindano mawili tofauti.

So naamini mechi itkauwa nzuri na naipa Barcelona asilimia 70 za kuvuka to the next stage.
 
Uchezaji wa mchezaji kama gerlad martin nimepatwa na mashaka sana na nilivyosikia lewa kukosekana na inter uchezaji wao ulivyo sijui tusubiri dakika 90
 
Uchezaji wa mchezaji kama gerlad martin nimepatwa na mashaka sana na nilivyosikia lewa kukosekana na inter uchezaji wao ulivyo sijui tusubiri dakika 90
Gerlad Martin hayuko vizuri ila Balde atakuwepo kwenye first leg against Inter.

Uwepo wa Balde unamraisishia sana kazi Raphina upande wake.
 
Uchezaji wa mchezaji kama gerlad martin nimepatwa na mashaka sana na nilivyosikia lewa kukosekana na inter uchezaji wao ulivyo sijui tusubiri dakika 90
Lewa sio tatizo sana.

Lewa nafasi yake inaweza kuwa replaced na Ferran kwa muda na kusiwe na tatizo.

Muhimu tusiwakose Olmo Pedri Yamal Raphina Balde na Dejong at their full potential.
 
Mnalijua hili
 

Attachments

  • 1745313978238.jpg
    280.1 KB · Views: 18
Mnalijua hili
Uongo mtupu.

Bila ya mchango wa Raphina Leeds angeshuka daraja in 2021/22 season.

Halafu nani kakwambia mchezaji akiwa flop kwenye ligi moja lazima awe flop kwenye ligi nyingine.

Japo Raphina hakuwa flop PL lakini hata kama alikuwa flop PL haina maana atakuwa flop La liga.

Halafu kuwa ballon dor contender aujipendekezi mchezaji mwenyewe unapendekezwa na stats zako ndo zitakazokubeba.

Stats za Raphina zinambeba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…