game ishaisha hiiPoint 3 muhimu kibindoni
Forca Barça
chumaa, hii mbungi mganga apewe chake mapema
wazee wa remontada na kuclose roofTuliwaambia mashabiki wa RMA humu hii game bado mbichi
tuta haLALI MKUU mbona lipo clearIle penati mbona nyepesi sana
Kweli leo beki zilikuwa worse.Hizi point 3 za moto kwetu. Hawa mabeki watatuua
Kweli leo beki zilikuwa worse.
Lakini kocha kazingua.
Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.
Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.
Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.
Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
Dogo ana miaka 17 tu lazima apate mapumziko la sivyo yatamkuta ya Ansu Fati.Kweli leo beki zilikuwa worse.
Lakini kocha kazingua.
Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.
Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.
Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.
Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
Ni kweli tuna game ngumu sana kuanzia 26 Apr na Madrid fainali.Tatizo ni hizo games 2 kubwa zilizo mbele yetu
Labda hii match aliichukulia poa. Na anaikiria big match zinazo kuja.Kweli leo beki zilikuwa worse.
Lakini kocha kazingua.
Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.
Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.
Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.
Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
Leo aliwapumzisha kwa kazi hii.Ni kweli tuna game ngumu sana kuanzia 26 Apr na Madrid fainali.
30 May tuna Inter first leg UEFA semi final.
Muhimu kocha awe mjanja atie full mkoko tutafute goli za kutosha then second half awapumzishe wachezaji muhimu.
Hii mambo ya kuwaingiza wachezaji muhimu kuja kufanya come back sio mda wote itatufaa.
Kuna muda game inakataa.
Ni kweli tuna game ngumu sana kuanzia 26 Apr na Madrid fainali.
30 May tuna Inter first leg UEFA semi final.
Muhimu kocha awe mjanja atie full mkoko tutafute goli za kutosha then second half awapumzishe wachezaji muhimu.
Hii mambo ya kuwaingiza wachezaji muhimu kuja kufanya come back sio mda wote itatufaa.
Kuna muda game inakataa.
Yeah.Labda hii match aliichukulia poa. Na anaikiria big match zinazo kuja.